Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,920
- 28,501
Mwamefi kashawapiga
Kingwa tuulizie na hili[emoji23]Kwenye jezi mpya za Simba kuna haya maneno 'Mo Simba Foundation', pia kuna Mo Simba Arena(uwanja wa mazoezi)
Kwa mnaofahamu, hizo project binafsi za Mohamed Dewji au ni za Simba kama Club?