We zuzu gsm sio main sponsor wa simba wa ligi kuu hawez kukaa kwenye jezi ya simbaIshu ni hivi timu ya mo itakuwa inatangaza biashara ya hasimu wake mkubwa kibiashara, yani mo akilala akiamka anaona nembo ya mo29 kidogo juu mgongoni halafu la GSM kubwa kweli kweli lipo kifuani
Kwa lipi sasa yaani mtu asitangaze biashara zake kisa itaonekana anashindana na mtu ?Kiuharisia wao ndio wanaofanya ushindani kwa dewji family
Wanasahau kuwa hii ni familia ya kisoka
Na mimi tajiri wa Mbeya City Fc namwaga mabilioni yangu ya dola kudhamini Formula 1 zifanyike bongo kwa mara ya kwanzaYaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?
Kudadadeki zenu sasa mmemchokoza Tajiri Mo Dewji ambapo Ijumaa hii anaenda Kudhamini Ligi Kuu ( nae kuwa Co Sponsor ) kwa kuweka 3 Billion Tsh kwa Bidhaa yake ya MO 29.
Mmemchokoza sasa mtamjua Tajiri MO.
unateseka sana na GSM dada??Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?
Kudadadeki zenu sasa mmemchokoza Tajiri Mo Dewji ambapo Ijumaa hii anaenda Kudhamini Ligi Kuu ( nae kuwa Co Sponsor ) kwa kuweka 3 Billion Tsh kwa Bidhaa yake ya MO 29.
Mmemchokoza sasa mtamjua Tajiri MO.
Akili za Makolo bana ujui kwamba ikiwa hivyo itakuwa poa sana kukuza ligi yetu na vilabu vyetu.Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?
Kudadadeki zenu sasa mmemchokoza Tajiri Mo Dewji ambapo Ijumaa hii anaenda Kudhamini Ligi Kuu ( nae kuwa Co Sponsor ) kwa kuweka 3 Billion Tsh kwa Bidhaa yake ya MO 29.
Mmemchokoza sasa mtamjua Tajiri MO.
tangu lini wewe ni msemaji mooYaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?
Kudadadeki zenu sasa mmemchokoza Tajiri Mo Dewji ambapo Ijumaa hii anaenda Kudhamini Ligi Kuu ( nae kuwa Co Sponsor ) kwa kuweka 3 Billion Tsh kwa Bidhaa yake ya MO 29.
Mmemchokoza sasa mtamjua Tajiri MO.
Hapa ndio akili yako hua ime ishia, ugumu wa maisha unakufanya una kasikirikia watu bureHapana ili akukaze vizuri / ipasavyo tu.
Andikeni basi vitu vya maana mara moja moja....ndo nini hii sasa?Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?
Kudadadeki zenu sasa mmemchokoza Tajiri Mo Dewji ambapo Ijumaa hii anaenda Kudhamini Ligi Kuu ( nae kuwa Co Sponsor ) kwa kuweka 3 Billion Tsh kwa Bidhaa yake ya MO 29.
Mmemchokoza sasa mtamjua Tajiri MO.
Haya ndo maajabu ya duniaAisee nimeamini mashabiki wa makolo fc ni mambumbumbu...yaani GSM kudhamini ligi amemkomoa Mo kivipi?