Mwekezaji Mo Dewji na CEO Barbara au hata Kocha Msaidizi Matola au Mwenyekiti wa Wanachama Mangungu wakikosea tu GENTAMYCINE kamwe sitoacha Kuwasema (Kuwashambulia) hapa JamiiForums sawa?Simba bila Mo ni kama Ndanda tu, Yanga bila GSM ni kama Tukuyu Stars. Tuwape heshima yao watoa mikwanja, kuendesha team ni gharama kubwa mno mno mno.
Nakukumbusha tu Simba mechi zote nne imepiga nje ndani tena sio kwa kubahatisha.Basi tunjemba twa Simba kumfunga de Agosto wanaona wamemaliza kila kitu!!??
Mhh!Mwekezaji Mo Dewji na CEO Barbara au hata Kocha Msaidizi Matola au Mwenyekiti wa Wanachama Mangungu wakikosea tu GENTAMYCINE kamwe sitoacha Kuwasema (Kuwashambulia) hapa JamiiForums sawa?
Sina hulka ya Unafiki, Kuogopa au Kujipendekeza kwa Mtu / Watu kama mlivyo 95% ya Watanzania sawa?
Na msichokijua huenda kule Kuwasema Kwangu kumewasaidia Wahusika Kujitafakari, Kujisahihisha na kuanza kufanya Mambo Kiuweledi na Kiufanisi zaidi kwa Mafanikio ya Simba Sports Club yetu.
Umesahau rapper gentaKama nia yako ilikuwa ni kuanzisha Mada ya Kumjadili GENTAMYCINE ( Kipenzi Cha Werevu na Adui wa Wapumbavu) wengi kama Wewe Mwandamizi wao hapa JamiiForums wala hukuwa na haja ya Kuzunguka kote hivi bali ungeenda tu moja kwa moja sawa?
Na najua hii Mada yako isingechangamkiwa au hata Kusomwa na wengi hapa kama usingenitaja GENTAMYCINE kama hivi hivyo naamini kuwa sasa Uzi huu Utapitiwa mno kwani 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' JamiiForums nzima nimetajwa / umenitaja.
😂Ushameza dawa mkuu!!?Kama nia yako ilikuwa ni kuanzisha Mada ya Kumjadili GENTAMYCINE ( Kipenzi Cha Werevu na Adui wa Wapumbavu) wengi kama Wewe Mwandamizi wao hapa JamiiForums wala hukuwa na haja ya Kuzunguka kote hivi bali ungeenda tu moja kwa moja sawa?
Na najua hii Mada yako isingechangamkiwa au hata Kusomwa na wengi hapa kama usingenitaja GENTAMYCINE kama hivi hivyo naamini kuwa sasa Uzi huu Utapitiwa mno kwani 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' JamiiForums nzima nimetajwa / umenitaja.
Wakifanya vizuri mbona huanzishi thread kuwapongeza??? Wewe ni utopolo kwenda uko!!Mwekezaji Mo Dewji na CEO Barbara au hata Kocha Msaidizi Matola au Mwenyekiti wa Wanachama Mangungu wakikosea tu GENTAMYCINE kamwe sitoacha Kuwasema (Kuwashambulia) hapa JamiiForums sawa?
Sina hulka ya Unafiki, Kuogopa au Kujipendekeza kwa Mtu / Watu kama mlivyo 95% ya Watanzania sawa?
Na msichokijua huenda kule Kuwasema Kwangu kumewasaidia Wahusika Kujitafakari, Kujisahihisha na kuanza kufanya Mambo Kiuweledi na Kiufanisi zaidi kwa Mafanikio ya Simba Sports Club yetu.
Wewe kinachokusumbua ni ama WIVU au CHUKI kwa huyo GENTAMYCIME . Kila mtu ana namna yake ya kukosoa na kuonesha hisia. Tena nyie msiokosoa ndio wanafiki wakubwa.Washabiki wa Simba na yanga tuna matatizo kweli, haswa hawa mamluki kama GENTAMYCINE
kwa upande wetu simba, sasaivi Simba imefanya vizuri kuvuka hatua ya makundi kimataifa.
Cha ajabu Hawa mashabiki maandazi ambao kutwa walikuwa wanamtukana Mo dewji, na yule CEO Barbar , sasaivi wanaisifia Simba na kocha Mgunda wanasahau pia nyuma ya hayo mafanikio yameambatana na fedha ambazo muwekezaji wetu Mo kwa miaka yote anatoa, pamoja pia na uongozi mzuri wa CEO.
Kwahiyo nashauri tujitaidi tuwe tunatumia akili wakati wakukosoa ,sio jitu Lina chuki zake lilinyimwa hela na Mo kama yule kigwwangala, au hili jamaa GENTAMYCINE ambalo nasema ni limamluki ambalo Wala sio shabiki la Simba, lenyewe kutwa kuutukana uongozi wa club mitandaoni, saizi lilivyo linafiki heti na lenyewe Lina furaha kwa Simba kuvuka hatua ya makundi
Kabisa kabisa mkuu na matajiri kuwepo tuu hapo kuna ipa timu hamasa na kuaminika pia. Mi huwa nawaangalia tuu wabwabwajiSimba bila Mo ni kama Ndanda tu, Yanga bila GSM ni kama Tukuyu Stars. Tuwape heshima yao watoa mikwanja, kuendesha team ni gharama kubwa mno mno mno.
naona unamtetea mumeo, haya bibie umesomeka linda ndoaWewe kinachokusumbua ni ama WIVU au CHUKI kwa huyo GENTAMYCIME . Kila mtu ana namna yake ya kukosoa na kuonesha hisia. Tena nyie msiokosoa ndio wanafiki wakubwa.
Sahihi kabisa.... Mpira ni pesaSimba bila Mo ni kama Ndanda tu, Yanga bila GSM ni kama Tukuyu Stars. Tuwape heshima yao watoa mikwanja, kuendesha team ni gharama kubwa mno mno mno.
Kwa kuheshimu utamu wa mama yako nakusamehenaona unamtetea mumeo, haya bibie umesomeka linda ndoa