MO awaumbua watekaji

Sema hujui, lakini usikatae kuwa hakuna vitu vya hivyo
Hakuna Microchip inayopiga picha mkuu, uwe hata unajaribu ku-google Microchip ni nini? Hao wamekulisha matangopori na umeingia mzimamzima bila hata kujiridhisha.
 
Tracking movements... YES, hiyo kurecord kila kitu.... ngoja wataalam waje😕
 
Vichwa vya habari vya biashara hivyo,hakuna aliyeumbuka hapo kama walijua kwanini hawakutafuta.....biashara ni matangazo
 
Walipoona Jamal Kashoggi kuwa inasemekana apple watch ilirekodi hawa nao wamekuja na yao.
 
A human microchip implant is typically an identifying integrated circuit device or RFID transponder encased in silicate glass and implanted in the body of a human being. This type of subdermal implant usually contains a unique ID number that can be linked to information contained in an external database, such as personal identification, law enforcement, medical history, medications, allergies, and contact information.

 
Magazeti yanayoandika upupu wangeyapiga faini ili wajifunze kuandika ya maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…