technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 13,575 Reaction score 57,990 Oct 1, 2021 #1 Tukiwaambia Makolo FC kunafukuta mnabisha? Mo anawaambia wachezaji wa simba wajitume waache kubweteka kama wanavyofanya sasa Bundi katua Makolo fc
Tukiwaambia Makolo FC kunafukuta mnabisha? Mo anawaambia wachezaji wa simba wajitume waache kubweteka kama wanavyofanya sasa Bundi katua Makolo fc
Hadrianus JF-Expert Member Joined Feb 19, 2020 Posts 2,112 Reaction score 5,269 Oct 1, 2021 #2 Utopwenga
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,969 Reaction score 13,419 Oct 1, 2021 #3 Kanjibhai aingie yeye acheze Nalog off
Seth saint JF-Expert Member Joined Oct 27, 2020 Posts 1,927 Reaction score 4,751 Oct 1, 2021 #4 Kwahiyo home boy ulitaka awaeleze wakakate mauno sio? mbona mashabiki wa uto mnawenge sana sasa hapo kawachana nini? na kufukuta kuko wapi sasa hapo?
Kwahiyo home boy ulitaka awaeleze wakakate mauno sio? mbona mashabiki wa uto mnawenge sana sasa hapo kawachana nini? na kufukuta kuko wapi sasa hapo?
B Bendanda JF-Expert Member Joined Jun 25, 2020 Posts 477 Reaction score 400 Oct 1, 2021 #5 Kuwahimiza wacheze Vizuri ni kuwachana?
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,666 Reaction score 70,314 Oct 1, 2021 #6 Seth saint said: Kwahiyo home boy ulitaka awaeleze wakakate mauno sio? mbona mashabiki wa uto mnawenge sana sasa hapo kawachana nini? na kufukuta kuko wapi sasa hapo? Click to expand... Hatuoni hata fukuto itoshe kusema utopolo wana kimuhemuhe
Seth saint said: Kwahiyo home boy ulitaka awaeleze wakakate mauno sio? mbona mashabiki wa uto mnawenge sana sasa hapo kawachana nini? na kufukuta kuko wapi sasa hapo? Click to expand... Hatuoni hata fukuto itoshe kusema utopolo wana kimuhemuhe
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 10,914 Reaction score 29,743 Oct 1, 2021 #7 Uto kama uto katika ubora wao. Yaani umekaa umediscuss na ikulu ya makalio yako ukaona uje na uzi huu. Hahaha haaa
Uto kama uto katika ubora wao. Yaani umekaa umediscuss na ikulu ya makalio yako ukaona uje na uzi huu. Hahaha haaa
redio JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 6,454 Reaction score 14,177 Oct 1, 2021 #8 MO ana presha Sana na matokeo Hana uwezo wa kuhimili joto la mpira wa miguu.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,251 Oct 1, 2021 #9 Gabachori amechafukwa
3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,018 Oct 1, 2021 #10 Manyani bna 🚮🚮🚮🚮
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 15,021 Reaction score 34,708 Oct 1, 2021 #11 Muamedi ni mjuaji sana
escrow one JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 1,477 Reaction score 2,873 Oct 1, 2021 #12 Makolo wanalazimisha furaha yani. Mwamedi hatamani tena kuvua shati abakize kidali kama misimu iliyopita.
Makolo wanalazimisha furaha yani. Mwamedi hatamani tena kuvua shati abakize kidali kama misimu iliyopita.
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 1, 2021 #13 Taitu Kalesa ndili muche makolo
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 24,946 Reaction score 26,813 Oct 1, 2021 #14 technically said: Tukiwaambia Makolo FC kunafukuta mnabisha? Mo anawaambia wachezaji wa simba wajitume waache kubweteka kama wanavyofanya sasa Bundi katua Makolo fc Click to expand... Sasa kuwaambia wachezaji ukweli ndio bundi katua?
technically said: Tukiwaambia Makolo FC kunafukuta mnabisha? Mo anawaambia wachezaji wa simba wajitume waache kubweteka kama wanavyofanya sasa Bundi katua Makolo fc Click to expand... Sasa kuwaambia wachezaji ukweli ndio bundi katua?
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 15,559 Reaction score 34,197 Oct 1, 2021 #15 Hadrianus said: Utopwenga Click to expand... Kolokwinyo
Le professel JF-Expert Member Joined May 14, 2019 Posts 680 Reaction score 1,036 Oct 1, 2021 #16 Insigne said: Taitu Kalesa ndili muche makolo Click to expand... Hii lugha gani mkuu?
Somoche Platinum Member Joined Oct 6, 2010 Posts 6,999 Reaction score 9,548 Oct 1, 2021 #17 Sasa hapo kuna ubaya gani?? Ukiambiwa ufanye kazi yako vizuri kuna ubaya??
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,190 Reaction score 9,864 Oct 1, 2021 #18 Washawasha said: Kanjibhai aingie yeye acheze Nalog off Click to expand... Boss wetu yeye uwa anacheza namba 12 na mchezo wake anacheza kabla ya mechi ila sasa amechoka kuendelea kuicheza hiyo namba ndio maana mambo hayawi mazuri!
Washawasha said: Kanjibhai aingie yeye acheze Nalog off Click to expand... Boss wetu yeye uwa anacheza namba 12 na mchezo wake anacheza kabla ya mechi ila sasa amechoka kuendelea kuicheza hiyo namba ndio maana mambo hayawi mazuri!
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,380 Reaction score 13,436 Oct 1, 2021 #19 Chanzo cha hii habari ni wewe mwenyewe. Ulikuwa naye chumbani kwake nini?
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 1, 2021 #20 Le professel said: Hii lugha gani mkuu? Click to expand... Kimambwe ambao wanapatikana mpakani mwa Zambia na Tanzania katika mkoa wa Rukwa
Le professel said: Hii lugha gani mkuu? Click to expand... Kimambwe ambao wanapatikana mpakani mwa Zambia na Tanzania katika mkoa wa Rukwa