Kaa unaaamini hivyo!wahindi bhn, naona sasa dili za sukari zimefeli kakomaa na simba😀😀😀
ngoja tusubiri tamko la zitto kabwe mbunge labda kutakua na ahueni kidogo😀Kaa unaaamini hivyo!
Mbongo ukimlegezea anakufilisi sasa mwenzao kila kitu kiko kwenye mkataba! Wao si wanajifanya mafisi wa pesa sasa wamlipe 1.4B! Yaan kawashika pabaya, Nyambaf!
Simba kuna wapiga dili wawili pale Aveva na HanspopeKisheria viongozi wa Simba wamefanya uhuni unaodhalilisha tasnia ya ndoto ya soka kuwa biashara,
Simba tayari ilikuwa na mkataba wa awali na Mo, hivyo isingeweza kuingia mkataba na mtu mwingine bila Mo kuridhia...
Kama tunashindwa kujua hadi leo kama Yule mchezaji wa Kagera sugar ana kadi tatu za njano au la!?Ana haki maana mkataba na makubaliano ni yeye Mo kumiliki asilimia 51 sasa unaendaje kuingia mkataba wa udhamini kwa miaka 5 bila kumshirikisha?wakati huo kishika uchumba karibu mwaka mzima analipa mishahara ya wachezaji na watumishi more than One B per year,kama akipewa timu na yeye akawekeza pesa nyingi ni wazi thamani ya Simba itakua kubwa na hiyo 5 B ya sport pesa kwa miaka mitano itakua ndogo,tunaviongozi dhaifu sana katika sekta ya michezo