MO alipotekwa na Nape alipotolewa bastola Mdude aliwapigania sana mitandaoni, wao hata pole hakuna.

Tatizo la wasiojulikana wao uwa wanajigeuzaga popo bawa
Ukifika tu kwenye mikoni yao tako linakuwa kama la Tembo,
hata ukiachiwa salama wameshakuhanisi vibaya, hauwezi tena kula mzigo
Ni kheri tu wakuuwe ujue moja kuliko kukurudisha ukiwa bwabwa..
 
Kina Nyerere wangejipigania wao na familia zao nafikiri leo wewe ungekuwa black American au uarabuni kazi yako ni kuwachekesha watoto wa mashehe.
Hahahahahha hapo kwenye kuchekesha watoto wa mashehe, umeniongezea siku za kuishi
 
Watu wameamua kumtomlea uvivu kule Twitter. Mpumbavu sana huyu ni bora angeendelea kukaa kimya kuliko kuonyesha ufinyu wa akili yake hadharani. Anaulizwa kuhusu Mdude Chadema anajibu kuhusu waliotaka kunufaika kwake! Roma Mkatoliki ana utajiri gani? Mbona Watanzania tulipaza sauti kwa nguvu zote hadi asiyejulikana Bashite akahofia na kumtoa alikomficha.

Shetwani Mkubwa huyo, Ndiyo Kiburi cha Uzima chenyewe hicho! Tunaendelea Kuishi, tutafika tulikopangiwa tu.
 
Watu wameamua kumtomlea uvivu kule Twitter. Mpumbavu sana huyu ni bora angeendelea kukaa kimya kuliko kuonyesha ufinyu wa akili yake hadharani. Anaulizwa kuhusu Mdude Chadema anajibu kuhusu waliotaka kunufaika kwake! Roma Mkatoliki ana utajiri gani? Mbona Watanzania tulipaza sauti kwa nguvu zote hadi asiyejulikana Bashite akahofia na kumtoa alikomficha.
Halafu pia imani yake, anaamini kuwa watu wanatengeneza Umaarufu kupitia yeye ili wafikia Malengo yao! Aisee, Bora Kijana Mwenye Hekima Kuliko Tajiri Mpumbavu. Hovyo kabisa!
 
Dada

Kuna watu wanazaliwa na kitu kinachoitwa "itch"

Hawezi ona uonevu mahali akanyamaza,ni inborn my dear!

Sasa huyu jamaa wa madongo kuinama yeye anaua tu sasa sijui kati ya watu mil60 wenye natural itch wakiwa 10mil huyu jamaa ataua wote

Which is genocide ya ajabu kutokea duniani

Umeongea kitu kimoja muhimu sana.

Kuna baadhi ya watu wanadhani ukiwafanyia unyama watu kadhaa walio high profile wengine watanyamaza.

Ngoja tuone!
 
.
IMG-20190506-WA0030.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Fatuma karuma na maria sarungi hao ni watoto wa vigogo hawagusiki sasa mdude ni yatima bdo tena unakuwa frontline daah
 
Ndo maana sometimes ni bora ujipiganie wewe na maisha yako,kuliko kujiweka kimbelembele juu ya wengine ilhali wewe sio mbunge,sio waziri n.k. Huyu angeweka hizi nguvu kwenye familia yake na kujikim kimaisha angekuwa mbali sana. Alikuwa brutal sana tena kwa yeye kama yeye bora hata angejifisha kwenye fake ID's kwa usalama wake. Kina Maria Sarungi watoto wa wakubwa hawagusiki.
Yeye alikuwa anatetea ukweli wazi wazi alijua hili hata kabla ya kumteka.
Alishatekwa mara ya kwanza wakamtesa kuliko maelezo, akarudi mtaani akaendelea kukosoa kama kawaida.
Hao watekaji wao hawatakufa? Unadhani hata wakimuua watapata amani? Unadhani mwisho wao utakuwa mzuri?
Damu ya mtu asiye na hatia haiwezi kuondoka hivi hivi, magufuli anajidanganya kwa muda.
Siasa ni kushindana kwa hoja sio bunduki wala kuuana.
Mfumo wa vyama vingi Tanzania upo kisheria tena ndani ya katiba, sio kosa mtu kuwa chama cha upinzani.
Kama mdude amemtukana rais kwanini asishtakiwe mahakamani?!
Adhabu ya kuteka na kuua ipo kikatiba???!!!
Wakiwamaliza wapinzani watarudi kwenu.
 


Watanzania wa enzi ya Nyerere sio hawa wa leo.

Pigania haki yako wewe kama wewe na sio kwaajili ya taasisi fulani.

Umeporwa shamba lako,pambana lirudi.
Umevunjiwa haki yako,pambana uipate.

Huu ni ushauri wangu kwa wote.

Una point fulani hivi nzuri ingawa inabidi uitafakari kwa upana zaidi.

Mimi nadhani kila mtu ana sababu yake inayoweza kumtoa hata kesho akaandamana. Sababu hizo zinaweza kuwa zinatofautiana kati ya mtu na mtu.

Ila kumbuka Umoja ni Nguvu. Mkipigania pamoja mna uwezekano mkubwa wa matatizo yenu kutatuliwa. Kuna vitu vinatuunganisha, moja wapo ni uhuru wa kuwa na mtazamo na maoni tofauti. Point yako nadhani inabidi uipanue kwa mtazamo huo.
 
Haya ndiyo majibu ya MO baada ya kushinikizwa kule Twitter na Shangazi kwa ukimya wake.


Not everyone that wants to help you, has good intentions. Some people only reach out when they stand to gain something at a later stage.

Duh! Umeona moja ya post za mwisho za Mdude? Aligusia jinsi Mengi alikuwa na ujasiri wa kipekee kusimama na Clouds pale walipovamiwa!

Nadhani wengi hatukuchukulia uzito wa Mengi kujitokeza waziwazi kuisupport kwa Clouds kwa uzito wake. Baada ya kusoma post ile imebidi nijiulize maswali. Who knows....
 
  • Thanks
Reactions: BAK


Watanzania wa enzi ya Nyerere sio hawa wa leo.

Pigania haki yako wewe kama wewe na sio kwaajili ya taasisi fulani.

Umeporwa shamba lako,pambana lirudi.
Umevunjiwa haki yako,pambana uipate.

Huu ni ushauri wangu kwa wote.
Umesomeka vyema sana
 
Sorry kuna jamii yake ina matatizo lukuki,kuliko kumpigania Mo. Unavuka bahari kwa sababu ya mtu ambae hawezi hata vuka kijito kwa sababu yako. Inakuja kweli? Mimi nikikutana na huyu kijana nitamwambia jikite kwenye jamii iliyo kuzunguka unganisha jamii yako na serikali jinsi ya kutatua matatizo. Andika vitu visivyoudhi maana Tanzania serikali haipendi kusemwa mitandaoni. Jiulize ukipigwa risasi leo utapelekwa Ulaya kama Lissu??????

Vicky unafeli kwa kudhani kila fate ya mtu ni sawa!

Fate ya Lissu ni kupelekwa Ulaya,yangu mimi ni kuzikwa mtaroni,shida ipo wapi hivi?

Sasa wewe serikali hutaki kukosolewa kwenye mtandao,unataka ukosolewe wapi?

Mikutano umekataza,kila kitu umekataza...

Hivi unaelewa kuikosoa serikali ni jukumu la kila mtu?

United States of America na rais wanakoselewa nyie hamtaki hivi mna nini?

Shida mnayopata ni nini hasa?

Kama hamtaki kukoselewa kwanini mnatawala?

Unajua ni mawazo ya zama za mawe za mwanzo kama cave men kujenga serikali ya kipumbavu namna hii isiyokubali kukoselewa kidemokrasia namna hii..

kwahiyo mnataka watu wakaongelee vitani?

Hebu acheni aggressions za kipumbavu namna hii kwa wenye mawazo mbadala wa yenu....

Tuonesheni nyie mna mawazo superior sio huu upumbavu aisee!

Vicky you are better than this!
 
Fatuma karuma na maria sarungi hao ni watoto wa vigogo hawagusiki sasa mdude ni yatima bdo tena unakuwa frontline daah

Aisee mnajenga fear mongering ya ajabu...

Wote ni wanadamu wana mioyo na matamanio yote ya kibinadamu...

Binadamu wote wana sense of morality,ukionea mtu wanaumia...

Hata asiposema hapa,atasemea pengine.....

Kuna wengine hawana threshold kubwa ya kunyamaza,ni natural,huwezi zuia....

Jiwe ana kazi mno...sana...tena sana!

Anatakiwa ajifunze ku-deal na hizi risings intelligently otherwise ndio demise yake...

Na anakoelekea ni demise....

Wanadamu sio nguruwe.....Ajifunze psychology ya kuendesha wanadamu!

Kuua watu ni counter productive in a long run!

Aelewe hilo....

Kuna kitu kitamponza sana.....

Atakuja kutoka madarakani amuweke Bashite adhani ndio pona yake na huyo huyo ndio anakuja mkata shingo hadharani!

Haya maisha ugumu wake unatosha kabisa,huu ugumu mwingine anaojiongezea atakuja kuelewa maharage sio zao la biashara....

I just dont get it,how on earth killings and abductions's solutions to run a state successfully?Never...

Historically ni failure tupu....

These people must learn.......
 
Utekaji huu unamchafua mtukufu Raisi Naomba wanaoteka wakome mara moja kabla hatua ngumu na zenye uchungu juu yao hazijachukuliwa
 
Yaani nikifikiria maisha yalivyo matamu,wanangu,mme wangu. Siwezi andika kitu kama hicho hapo juu kwa kutumia my Real identity.
Madame nimeiona hiyo twitt ya mdude kwa bashite. Nikuulize tu vizuri mlitaka wale waliong'oa CCTV camera wapongezwe kwa kazi nzuri ya kuleta maendeleo ?!. Mbona wakiumizwa hawa so called wapinzani, wanatakiwa kutolalanika ?!. Wakati huo huo wanakosa haki mbele za sheria !!. Kweli camera ziondolewe kutoka nyumba ya waziri, halafu waliong'oa wasijulikane ?!!

Ni sawa na hili la sasa kuwaambia police kuanza na Msigwa kisa ameomba mwongozo bungeni kuhusu mateka !!! Je tutasubiri hali ijirekebishe yenyewe ?!
 
Madame nimeiona hiyo twitt ya mdude kwa bashite. Nikuulize tu vizuri mlitaka wale waliong'oa CCTV camera wapongezwe kwa kazi nzuri ya kuleta maendeleo ?!. Mbona wakiumizwa hawa so called wapinzani, wanatakiwa kutolalanika ?!. Wakati huo huo wanakosa haki mbele za sheria !!. Kweli camera ziondolewe kutoka nyumba ya waziri, halafu waliong'oa wasijulikane ?!!

Ni sawa na hili la sasa kuwaambia police kuanza na Msigwa kisa ameomba mwongozo bungeni kuhusu mateka !!! Je tutasubiri hali ijirekebishe yenyewe ?!
Nikuulize kitu unaweza kusema kuwa camera ziling'olewa kwa kutumia real ID yako? Hakuna mwenye ushahidi kuwa kulikuwa na camera before,hakukuwa na camera after .Hivyo kuongea kitu kama hicho kwa kutumia your Real ID's huku ukitukana Bashite na Jiwe ni ujinga tu.
 
Back
Top Bottom