Mnyooshaji kalewa madaraka. Hehehehe, Kwanza hana ethics za uongozi angalia anavyoropoka tu majukwaaniMnyooshaji Ni Nani?,Mashetani kina Nani?
Rais wenu mpendwa?????vumilia tu kijana lazima tufanye kazi kweli kweli kuendana na kasi ya raisi wetu mpendwa"hapa kazi tu"