Bila shaka wewe utakuwa miongoni wa wanaoitwa MALOFA na Mzee Mkapa.Yaani hujui hata Mnyika anagombea jimbo lipi unaleta stori za eti Ubungo mnamsubiri??.Aliyekuloga kuwa Kamanda huyu anagombea hapo nani?? Kazi mnayo Lumumba safari hii,ila endeleeni kumsubiri mumkaange!!!