assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Mwelekeo na dira Yao ni kuiondoa ccm madarakani, ukiwa chama cha upinzani huna dola wala platform wala resources kazi yako kuu ni kuikosoa serekali na chama tawala Sawa mkuu? Moja Wapo Ya kukosoa ni kushabikia negative matukio ili kuionesha jamii weaknesses Za chama tawala Sawa kaka?CHADEMA ni chama kilichokosa mwelekeo na dira.....sasa hivi wamebaki kushabikia matukio....ilianza madawa ya kulevya wakarukia.....vyeti vya makonda wakarukia.......kutekwa wakarukia chama hakina ajenda yoyote wanayoisimamia Zaidi ya kusubiri matukia
mko bize na bashite ndio ajenda yenu kubwa ya kitaifa, na kulaumu tu
mpaka akili ziwaingie mnakuwa vizee kama raila odinga na mnaiacha ccm
muda mwingi upinzani unacheza muziki wa ccm
mnakuwa side moja ya ccm huyu, against ccm yule
next day mnashangaa mmepigwa chini EALA, akili zinakuja ccm ni wale wale, mnaishia kutukana
upinzani ni kama mbwa asiye attack anasubiri paka na panya ndio wabweke!!
THEN......mwisho wake Mnyika anataka CCM waweke mfumo??? ...
Ni muda mzuri wa kuamka na kuwaza tume huru ya uchaguzi, CCM haiondoki kwa hizo wishes, na wala hawatamsiliza, ni nzuri akojoe alale, maana tushasema sana
au kuna jipya??
Umekurupuka mkuumko bize na bashite ndio ajenda yenu kubwa ya kitaifa, na kulaumu tu
mpaka akili ziwaingie mnakuwa vizee kama raila odinga na mnaiacha ccm
muda mwingi upinzani unacheza muziki wa ccm
mnakuwa side moja ya ccm huyu, against ccm yule
next day mnashangaa mmepigwa chini EALA, akili zinakuja ccm ni wale wale, mnaishia kutukana
upinzani ni kama mbwa asiye attack anasubiri paka na panya ndio wabweke!!
THEN......mwisho wake Mnyika anataka CCM waweke mfumo??? ...
Ni muda mzuri wa kuamka na kuwaza tume huru ya uchaguzi, CCM haiondoki kwa hizo wishes, na wala hawatamsiliza, ni nzuri akojoe alale, maana tushasema sana
au kuna jipya??
fanyeni gemu iwe fair play muone. Mnakuwa waogawaoga kama digidigi bana. Bunge live mmebana, uhuru wa mikutano ya siasa mmebana. Mmebakia kufanya mambo yakijingajinga tu Kwa kumtumia bashite na yote ikabackfire. Mnateka innocent unarmed ppl ambao hata hawawez kijidefend et tyss kwanini msiende kuwateka hao majambaz huko vichakani wanawaua ndugu zetu polisi. Mmeshindwa kudeliver mmebaki kufanya vituko na mambo ya kijingerjnger.mko bize na bashite ndio ajenda yenu kubwa ya kitaifa, na kulaumu tu
mpaka akili ziwaingie mnakuwa vizee kama raila odinga na mnaiacha ccm
muda mwingi upinzani unacheza muziki wa ccm
mnakuwa side moja ya ccm huyu, against ccm yule
next day mnashangaa mmepigwa chini EALA, akili zinakuja ccm ni wale wale, mnaishia kutukana
upinzani ni kama mbwa asiye attack anasubiri paka na panya ndio wabweke!!
THEN......mwisho wake Mnyika anataka CCM waweke mfumo??? ...
Ni muda mzuri wa kuamka na kuwaza tume huru ya uchaguzi, CCM haiondoki kwa hizo wishes, na wala hawatamsiliza, ni nzuri akojoe alale, maana tushasema sana
au kuna jipya??
Kati ya wanaongea utumbo we naye umomko bize na bashite ndio ajenda yenu kubwa ya kitaifa, na kulaumu tu
mpaka akili ziwaingie mnakuwa vizee kama raila odinga na mnaiacha ccm
muda mwingi upinzani unacheza muziki wa ccm
mnakuwa side moja ya ccm huyu, against ccm yule
next day mnashangaa mmepigwa chini EALA, akili zinakuja ccm ni wale wale, mnaishia kutukana
upinzani ni kama mbwa asiye attack anasubiri paka na panya ndio wabweke!!
THEN......mwisho wake Mnyika anataka CCM waweke mfumo??? ...
Ni muda mzuri wa kuamka na kuwaza tume huru ya uchaguzi, CCM haiondoki kwa hizo wishes, na wala hawatamsiliza, ni nzuri akojoe alale, maana tushasema sana
au kuna jipya??
Mnyika yuko bungeni kipindi kirefu tu,na sera zinatungwa huko,sasa akilialia tumweleweje!Anatakiwa kuweka "Mifumo". sio kila siku Tumbua Tumbua.
my take.
CAG report. Tumbua Tumbua=0. hela zetu bado zinaibiwa Na kupotea.
katiba mpya haiepukiki
Nakupa mfanohivi nyinyi vijana Lumumba ni WA nchi hii ni maslahi tumbo.
nchi inaangamia nyie hamuoni
uvunjifu WA katiba wazwazi
utekaji
uchumi kuanguka
viwanda imekuwa VI wonder
ajira hamna
nyongeza Za mishahara hamna
mfumuko WA bei
nyie haya mnaona yanaletwa Na upinzani
Sawa kabisa,lakini kama huna mikakati iliyo smart utakosoa sana.Mwelekeo na dira Yao ni kuiondoa ccm madarakani, ukiwa chama cha upinzani huna dola wala platform wala resources kazi yako kuu ni kuikosoa serekali na chama tawala Sawa mkuu? Moja Wapo Ya kukosoa ni kushabikia negative matukio ili kuionesha jamii weaknesses Za chama tawala Sawa kaka?