William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
FMES,
..sisemi kwamba wapinzani wa-abandon kabisa juhudi zao za kuwaelimisha wananchi kuhusu haki zao, pamoja na ubovu na udhaifu wa CCM.
..lakini kama CCM wanaleta dirty tactics and name calling, basi wapinzani nao wawe tayari ku-respond in kind.
..CCM wanapaswa kushambuliwa frm every angle .
Hakuna leaders kwa sasa siyo CCM wala upinzani, just imagine ccm wanakodoleana macho viongozi wa upinzani wanakaa kuwajadili ccm? wanatoa ****** kuwalaani aagh!FMES,
..inawezekana tunaongelea jambo moja ila tunatumia maneno tofauti ktk kutetea hoja zetu.
..nakubaliana na wewe kwamba wapinzani wasipokuwa makini wanaweza kuwa distracted na kutumia muda mwingi kujibizana kimipasho na watu kama Makamba.
..posting yako ya mwisho made more sense to me than the previous one. naomba kusisitiza kwamba ktk hili tuko pamoja 100%.
Hivi haya maneno ambayo Mnyika uwa anayaropoka yanakuwa ni matamko ya CHADEMA au ya Mnyika binafsi? A'fu naona inabidi tutafute paka wengine maana hawa tulionao wameshindwa kabisa kuzuia panya kutafuna mali za wananchi myau myau myau tu lakini hakuna chochote.
Hakuna leaders kwa sasa siyo CCM wala upinzani, just imagine ccm wanakodoleana macho viongozi wa upinzani wanakaa kuwajadili ccm? wanatoa ****** kuwalaani aagh!
Hawawezi kuipata hii nafasi tena come 2010, wananchi wengi hawawezi kutofautisha ccm na upinzani the same type of leaders..
siamini katika majaribio zambia walimweka chiluba kwa hasira akaiishia kuwa mwizi na kingan'anizi..naona hiyo kwa wapinzani hasa chadema!
- Siasa ikiwa sanaa maana yake tunaongozwa na wasanii, does that makes sense to you? maana siamini kwamba Dr. Slaa ni msanii!
Respect.
FMEs!
Very low
- Typical you na multiples colors, just lowest! Bwa! ha! ha! online's PhD Bwa! ha! ha! nothing better to do!
es!
FMES
Mbona unakuwa kigeu geu? Waziri Simba alipomropokea Mama Malecela alifanya kama Makamba alivyowaropokea wapinzani. Lakini wakina Malecela akiwemo Mzee Malecela mwenyewe hawakujibu kama utavyo Mnyika ajibu hapa badala yake wakajibu tu kwamba Sophia Simba ni mwehu badala ya kujibu tuhuma.
Afadhali Mnyika ametumia tu mfano wa panya na paka kueleza kwamba mafisadi wanatafuna fedha za umma ili kuondokana na ufisadi wao na kuleta maendeleo ni muhimu pawepo na upinzani kuwaondoa.
serayamajimbo
- Sasa mkuu mara ngapi Mbowe ameropokewa na Zitto na kina Kafulila, acha kina Wangwe, mbona hakujibu kama Mnyika anavyojibu sasa na wewe hukuwa na tatizo, au?
- Jaribu kuelewa point yangu kwamba unaposhuka kwenye level za mapanya na mapaka, sasa unakubali kuongea lugha ya Makamba na wewe Chadema huwezi kushinda kwa hiyo lugha, vipi mkuu hiki ninachosema ni kiswahili Mbowe au Chadema nzima kiongea lugha za kina Kafulila na Zitto, hamuwezi kushinda ndio maana mkabadili na kuongea lugha zenye decency, that is all I am asking!
- Yaani tofauti yenu kiakili na Makamba, Sophia alijibiwa vizuri sana, kwanza aliambiwa waziri anazo evidence kwa nini ahajaenda kwenye sheria, lingine aliambiwa asiondoke Dodoma bila kupimwa, the next thing we know boss wake akasema amepimwa huko majuu, kipi usichoelea hapo mkuu?
Respect.
FMEs!
Lugha ya Paka na Panya ni ya picha tu, kama ambavyo Malecela alijiita Tinga Tinga, ama Nyerere alimuita 'muhuni'. Soma makala hii hapa utaona lugha hiyo ya picha-----------http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/3/7/makala2.php
- Lugha za mapanya na mapaka ni very low kwa chama kinachotaka kutukomboa kutoka kwa the so called mapanya, na hasa Mkamba ambaye at this time and moment katika siasa za taifa letu hana anything to gain au to lose, na the same cannot be said of Chadema, nilitegemea Chadema na hasa Mnyika wangekuwa better than Makamba in thinking, ahsante kwa kunilazimisha sana niamini kwamba wako level moja.
- Malecela hajawahi kujiita tinga tinga, isipokuwa ni jina la kisiasa alilopewa na wanasiasa pamoja na wananchi kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuweza kushinda viti vyote 28 vya chaguzi ndogo alizowahi kushiriki on the CCM's side.
- Ya Mwalimu na kumuita mhuni ni kweli kabisaa, tatizo ni kwamba enzi hizo tulikuwa haturuhusiwi kujibu wala kuuliza maana ungeishia kama kina Seif Bakari, kuwekwa rumande ya siri kule Mafia, lakini leo tunao uhuru wa kusema na kuuliza, ndio sasa tunasema hivi Mwalimu alikuwa mhuni kama Malecela, sasa nini hasa kilichompa ubavu wa kusema uhuni wa mwenziwe wakati na yeye pia alikuwa mhuni vile vile, na sio siri Tanzania enzi hizo tulikuwa na mamluki wengi sana ambao kila analosema Mwalimu lilikuwa ni amina tu hata bila ya kuuliza, Serayajimbo ukiona una debate na mimi halafu unalilia Malecela, maana yake ni moja tu huna hoja, Mwalimu alikuwa mhuni kama alivyomuita Malecela, sasa naomba kukuuliza do you have a problem with that ili tu-break down the ishu?
halafu mbona habari yenyewe inaonyesha kwamba wanaotafuna fedha za umma kama mafisadi wa ndani ya CCM ndio mapanya?
- Kuna malalmiko ya kutafunwa kwa hela za wananchi katika CCM na pia Chadema na baadhi ya viongozi mamluki wachache, lakini haiwafanyi wana Chadema wote kuwa ni wezi wala wachagga au mapaka, na hitufanyi wana-CCM wote kuwa wezi na mapanya,
- Hapa tunacholilia ni Chadema kumuonyesha Makamba kwamba uwezo wake ni mdogo sana wa kufikiri, nashangaa sana kuona mnalilia kumuonyesha kwamba uwezo wenu wa kufikiri uko sawa, hilo tu ndilo tatizo langu, mengine yote ni yenu wala hayanihusu!
Mimi nadhani kundi la wapambanaji dhidi ya ufisadi kama wewe hamkupaswa kuumizwa na jina la panya kwa kuwa haliwahusu. Ilipaswa walalamike wakina Makamba, Lowassa nk
- Lugha za kudhani katika mijadala muhimu ya taifa kama hii ndio chanzo cha malumbano yasiyo na faida kwa masilahi ya taifa, mimi siamini kwamba kwa sababu kuna kilio cha Chadema kuwa chama cha Wachagga au kuitwa mapaka, kunaweza kuwahusu watu kama wewe na Mnyika, sasa mkijibu kwa mwendo ule ule wa Makamba basi ni dalili kwamba mnaguswa sana na hivi vilio fake, ambavyo nia na madhumuni yake ni distraction zaidi kuliko siasa ambazo ni productive kwa taifa, ndio maana ninasikitishwa sana kuona mtu kama wewe au Mnyika mkilalamika tena kwa lugha za chini sana kama Makamba.
- Sasa kama wewe na Chadema mnajua kwamba mapanya ni Makamba na Lowassa, basi mngewasema wao straight kama walivyo otherwise mnakuwa kama Makamba na ni lazima ana furaha sana kuona anaweza kuwashusha mkaongea lugha yake, poleni sana! na ndio maana huwa tunasema siasa sio ya kila mtu mara nyingi inahitaji kipaji au ushauri kuliko kukurupuka kurupuka!
Respect.
FMEs!
-
- Ya Mwalimu na kumuita mhuni ni kweli kabisaa, tatizo ni kwamba enzi hizo tulikuwa haturuhusiwi kujibu wala kuuliza maana ungeishia kama kina Seif Bakari, kuwekwa rumande ya siri kule Mafia, lakini leo tunao uhuru wa kusema na kuuliza, ndio sasa tunasema hivi Mwalimu alikuwa mhuni kama Malecela, sasa nini hasa kilichompa ubavu wa kusema uhuni wa mwenziwe wakati na yeye pia alikuwa mhuni vile vile, na sio siri Tanzania enzi hizo tulikuwa na mamluki wengi sana ambao kila analosema Mwalimu lilikuwa ni amina tu hata bila ya kuuliza,
FMEs!
FMES
Yaani unasema kwamba Nyerere alikuwa muhuni? Kivipi? Kati ya Malecela na Nyerere nani alikuwa muhuni?
......ndiyohiyo
FMES
Yaani unasema kwamba Nyerere alikuwa muhuni? Kivipi? Kati ya Malecela na Nyerere nani alikuwa muhuni?
......ndiyohiyo
- Yaani kipi usichoelea mkuu hapo? na what it has to do na masilahi ya taifa mbona mnataka kugeuza subject, au? Bwa! ha! ha! anyways I m out!
Respect.
FMEs!
ndio sasa tunasema hivi Mwalimu alikuwa mhuni kama Malecela, sasa nini hasa kilichompa ubavu wa kusema uhuni wa mwenziwe wakati na yeye pia alikuwa mhuni vile vile, .................Mwalimu alikuwa mhuni kama alivyomuita Malecela, sasa naomba kukuuliza do you have a problem with that ili tu-break down the ishu?
FMES
Yaani unasema kwamba Nyerere alikuwa muhuni? Kivipi? Kati ya Malecela na Nyerere nani alikuwa muhuni?
......ndiyohiyo
- Yaani kipi usichoelea mkuu hapo? na what it has to do na masilahi ya taifa mbona mnataka kugeuza subject, au? Bwa! ha! ha! anyways I m out!
Respect.
FMEs
Mnyika amewaonyesha wananchi njia mbadala kwa kusema wawapunguze mapanya kwa kuchagua wabunge wa upinzani wengi zaidi ili kulinusuru taifa linaloendelea kutafunwa na mapanya hao! Au hilo nalo ni fumbu ndugu yangu kiasi cha wewe kushindwa kupata ujumbe uliowafikia wananchi?- Not impressed, two wrongs do not make right, mmoja hapa alitakiwa kuonyesha the way badala ya kuitana majina ya wanyama, huku wanachi wakiendelea kuteseka kutokana na uongozi mbovu katika kila kona ya taifa letu!
Respect.
FMEs!
Aliyesema panya na akawafafanulia wananchi na kwenda mbali zaidi kwa kuwaonyesha namna ya kuyatowesha mapanya hayo ana akili mbadala kutetea masilahi ya wananchi. Tusing'ang'anie neno panya pekee yake bali tulipokee kama msemo likimaanisha wafuja mali za umma na dawa yao (mapaka) ni kuweka siyo tu wapinzani bali wapinzani walio makini kusimamia rasilimali za nchi.- Makamba kasema paka, na wewe mkombozi wetu Mnyika unajibu panya, sasa nani hapa mwenye akili kuliko mwingine?
- Inasikitisha sana! hili taifa!
Respect.
FMEs!
Aliyesema panya na akawafafanulia wananchi na kwenda mbali zaidi kwa kuwaonyesha namna ya kuyatowesha mapanya hayo ana akili mbadala kutetea masilahi ya wananchi. Tusing'ang'anie neno panya pekee yake bali tulipokee kama msemo likimaanisha wafuja mali za umma na dawa yao (mapaka) ni kuweka siyo tu wapinzani bali wapinzani walio makini kusimamia rasilimali za nchi.