Mnyika na viongozi wapya CHADEMA-UK

Wamehudhuria watu nane halafu saba kati yao ni viongozi wateule. Kwahiyo ukimtoa Mnyika inamaana waliohudhuria wote wamepata uongozi.

Hongereni sana.
 
Ila hawa ni bora msiwaite viongozi. Waiteni waratibu, kwasababu kuwa kiongozi ni lazima uwe na mtu wa kumuongoza. Sasa hawa wanamuongoza nani?

Hawa wanaratibu uanzishwaji upya wa vuguvugu la chadema London baada ya muasisi wa awali Chris Lukosi a.k.a Mzee wa Kazi kujitoa na kundi kubwa la wanachama kumfuata...
 
Wamehudhuria watu nane halafu saba kati yao ni viongozi wateule. Kwahiyo ukimtoa Mnyika inamaana waliohudhuria wote wamepata uongozi.

Hongereni sana.

Hebu weka picha ya kwenye kikao hicho mkuu!!! Maana siku hizi ni kitu na evidence!
 
Hebu weka picha ya kwenye kikao hicho mkuu!!! Maana siku hizi ni kitu na evidence!

Mkuu wangu, picha si hiyo hapo juu.
Hakuna wahudhuriaji wengine zaidi ya hao wanaoonekana kwenye picha...
 
Mcheka kilema na kwao kipo

Hakuna kilema hapo. Hiyo ni hali halisi tu ambayo Mnyika amejionea kwa macho yake. Lakini kwa sababu Mnyika yuko kwenye safari zake za kufanya mitihani, hakuna alichopoteza...
 
Hakuna kilema hapo. Hiyo ni hali halisi tu ambayo Mnyika amejionea kwa macho yake. Lakini kwa sababu Mnyika yuko kwenye safari zake za kufanya mitihani, hakuna alichopoteza...
Mtihani wa nini tena?
 
sasa wana jf mnabeza nini?mbuyu ulianza kama mchicha,tatizo lenu mnazan lukosi amebeba wanachama....hapana mim nasema walomfuata si wasomi bali ni umangimeza,wanaabudu mtu si sera,mipango nk
 
Mkuu wangu, picha si hiyo hapo juu.
Hakuna wahudhuriaji wengine zaidi ya hao wanaoonekana kwenye picha...

Basi mkuu ninaamini ilikuwa ni picha ya viongozi waasisi na si viongozi na wanachama wote!! Hata kama yule kibaka aliondoka na kundi la wanachadema lakini wapo wanachadema wengi tu London.
 
Mkuu wangu, picha si hiyo hapo juu.
Hakuna wahudhuriaji wengine zaidi ya hao wanaoonekana kwenye picha...

Hakuna kilema hapo. Hiyo ni hali halisi tu ambayo Mnyika amejionea kwa macho yake. Lakini kwa sababu Mnyika yuko kwenye safari zake za kufanya mitihani, hakuna alichopoteza...

Mkuu, hayo tumuache Mnyika mwenyewe siku akiwa tayari kusema.

Hiyo ni mada nyingine ndefu inayohitaji thread yake.
Mnyikaphobia and Chademaphobia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…