Makamanda hali ni mbaya sana kwa Mnyika jimbo la Kibamba, hii ni baada ya movement inayoendelea chini kwa chini ya wanachama wa Chadema Asilia na mgombea wao, wanasema ameamua kuwasaliti baada ya kutukuza mafisadi waliovamia chama.
Mikutano ya Mnyika imekosa watu, mbinu anayotumia sasa ni kupita majumbani akiambatana na mateja bila kuweka mikutano ya wazi tofauti na hapo awali.
Dogo huwa yuko makini akikosa jimboni this time apewe ubunge hata kwa hisani ya watu wa marekani ili awemo tu mjengoni.
Hawezi pata hata viti maalumu huyo dogo
Makamanda hali ni mbaya sana kwa Mnyika jimbo la Kibamba, hii ni baada ya movement inayoendelea chini kwa chini ya wanachama wa Chadema Asilia na mgombea wao, wanasema ameamua kuwasaliti baada ya kutukuza mafisadi waliovamia chama.
Mikutano ya Mnyika imekosa watu, mbinu anayotumia sasa ni kupita majumbani akiambatana na mateja bila kuweka mikutano ya wazi tofauti na hapo awali.
Serikali ya CCM iliyokuwepo madarakani ambayo Mnyika ni Mbunge imeshindwa kabisa kutatua matatizo makubwa ya umeme na maji.CCM imekwama,tuipumzishe.LOWASSA ANATOSHA.
Tatizo hana shule, askari wa bunge kuanzia degree, yeye ni form six
Dogo huwa yuko makini akikosa jimboni this time apewe ubunge hata kwa hisani ya watu wa marekani ili awemo tu mjengoni.
Kwanza Mnyika hakushinda ndani ya CDM sema alibebwa,sasa kama kwenye chama tu alipigwa chini you can sense what comes