Kiboko Yenu
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 311
- 66
alikuwa anajifanya na yeye mbishi huku akitafuta sifa za kitoto kila siku kwa kumponda mheshimiwa rais na watu wake umeona kilichomtokea? mpaka muda huu chama kimebidi kianzishe kampeni uchwara mradi tu apate pa kula maana hali yake ki fedha sio nzuri
sasa na wewe angalia maana kesi yako ipo mahakama ya rufaa now
Wewe dogo ya chadema hayakuhusu na uyawezi kabisa.
Umesikia mambo ya simbachaawene uko singida?? Ayo ndo mambo ya ccm 4ur habari kafumaniwa na mke wa askari polisi kala panga kadhaa toka kwa uyo askari mpole, nadhani adhabu yake angemkata midomo yote miwili ili acheke milele.
Ati waziri wa nishati aya bwana ccm kwa vituko mara rushwa mara uasherati kumbuka igunga bw fedha wenu na sasa mh waziri uko singida
Wakuu hebu wekeni ukweli wa hii habari ya Simba tupate ukweli wake?
alikuwa anajifanya na yeye mbishi huku akitafuta sifa za kitoto kila siku kwa kumponda mheshimiwa rais na watu wake umeona kilichomtokea? mpaka muda huu chama kimebidi kianzishe kampeni uchwara mradi tu apate pa kula maana hali yake ki fedha sio nzuri
sasa na wewe angalia maana kesi yako ipo mahakama ya rufaa now
SimbaChawene nipo naye huku Mahoma Makulu kwa kina Francis Chove, Hii kali tena baada ya Kikao karukia Singida tena kwa Soldier na kacharangwa hii kaliUkweli ndio huo Mohamedi Mtoi .......kafumaniwa na mke wa askari huko singida
Yaani siku ikitokea mataahira na vilaza wakaisha kwenye hii nchi mambo yatakuwa mazuri sana!
SimbaChawene nipo naye huku Mahoma Makulu kwa kina Francis Chove, Hii kali tena baada ya Kikao karukia Singida tena kwa Soldier na kacharangwa hii kali
alikuwa anajifanya na yeye mbishi huku akitafuta sifa za kitoto kila siku kwa kumponda mheshimiwa rais na watu wake umeona kilichomtokea? mpaka muda huu chama kimebidi kianzishe kampeni uchwara mradi tu apate pa kula maana hali yake ki fedha sio nzuri
sasa na wewe angalia maana kesi yako ipo mahakama ya rufaa now
SWEETLADY jina lako tamu, unajua hawa watu huwa wanajilengesha wenyewe, maana CCM kuna maHandsome toka Mwenyekiti mpaka Simbachawene kwanini wasibabuliwe.Chezeiya ccm Ukwaju?????....yakitokea mashindano ya uzinzi hawa ccm lazima waibuke kidedea.....afu ni mabingwa wa kuchukua wake za watu......na hawa police ndio wakome wanawalinda waheshimiwa, wanawaibia rasilimali zao afu mwisho wa siku wanatumia pesa za walipa kodi walizoiba kuchukulia wake za walalahoi mf police na yule aliyechukuliwa na Mwigulu!