Nikweli mkuu Kimbunga ungeiona usingetokaLeo hii thread sijaoina
Natumain umzima na unaendelea vizuri na majukumu yakoo..mimi ni mpiga kura wangu kaka tena nilikuwa mbele kuona ukiingia madarakani lakini sasa mambo yamekuwa kinyume na sikuone tena huku jimboni kwako Maeneo ya manzese, kwamfuga mbwa na ukombozi....
Ukweli huku hali ni mbaya sana na hatuna pa kukimbilia, huduma ya maji ni kiama, miundo mbinu ni uchafu mtupu, takataka ndo usiseme spidi ya kukusanya hela ya taka ni kubwa kuliko huduma yake, barabara zimeekwa taa ila ziliwaka siku moja na nadhani zitawaka tena siku MH RAIS AKITEMBELEA MANZESE USIKU....! Yapo mengi ya kuongea na wewe kuhusu jimbo lako .........
WAKE UP GUY DON'T LET US DOWN
Jimbo la Ubungo ni kubwa mno, unataka kila siku awe anashinda nyumbani kwako?
ni kweli mkuu kama huku kwetu maeneo ya temeke mbunge kumuona ni msamiati, sijui na yeye anashinda wapi?Huko jimboni kwenu alishawaaga toka tarehe 31/10/2010, hana alichosahau. Kazi ya hawa jamaa ni kupiga kelele tu na maandamano yasiyo na tija. Muda mwingi anashinda KANISANI pale Kibangu anaombea watu. Katibu wake mkuu (KATIBU MKUU WA CHADEMA) ni PADRI, unafikiri MNYIKA atakuwa nani? Yupo anajinafasi kwa kula mwili wa YESU kanisani.
sababu aligombea kupitia tiketi ya chama, kama ccm yote leo ipo kizota, badala ya kutekeleza ahadi zao.Mnyika anatumikia chama kwanza nyie watu wa ubungo subirini kwanza.
na wewe upo tayari kuwapa magamba?Siyo Manzese pekee, hata Kimara Baruti kuna shinda ya maji kupita kiasi, shida ya maji ndio iliyomtoa mbuge aliyemtangulia, nashangaa hata yeye amesahau, nadhani amechoka kuwa mbuge, shida iliyotufanya tukuchague haujaitekeleza hata chembe, ukiendelea hivyo jiandae kuwakabithi jimbo magamba maana hautakuwa na cha kusema.
Yule dogoo 2015 harudi.Amejaa misifa tu mungu amsaidie miaka yake miwili.Abaki na ukatibu wenezi wake ndo unamfaa.
'dua la kuku halimpati mwewe' 'we unasema cha nini wenzio wanasema watampata lini'kweli kabisa
Kwasababu wewe na wazazi wako hamkuwa na sifaKama anajua jimbo kubwa aligombea kwa nini?
mkuu hata hapa ukonga mbunge wetu haonekani toka tumempa kula na hata bungeni haongei sijui katekwa?Mnyika anatumikia chama kwanza nyie watu wa ubungo subirini kwanza.
Haya mambo ni magumu matatatizo ni makubwa kila sehemu,masaki nako nafikiri maboza bado yanapeleka maji,lakini ninachotaka kukufumbua ndugu yangu,bado CCM na serikali kwa ujumla wanashindana kuiba mali ya umma na si rahisi kwa serikali kutatua matatatizo kama ya huko kwenu,hata ungempa yule mama wa CCM tatizo lisingefutika maana kilichobaki ni kusukuma maji yaweze kupita kwenye bomba za wachina mpaka kwako,lakini lahasha,tunachotakiwa kwa upande wetu ni kuliombea sana TAIFA letu hali ni mbaya,kitu kingine tunachotakiwa kufanya ni kuhakikisha tunaiondoa kabisa CCM ili tuanze 1 na tuhakikishe ya kuwa sisi tunaowachagua viongozi tuna nguvu ya kuwawajibisha,katiba mpya ni kiini macho hakuna suluhu hapo juu ya sisi kuwa na nguvu juu ya wale tunao wachagua.Natumain umzima na unaendelea vizuri na majukumu yakoo..mimi ni mpiga kura wangu kaka tena nilikuwa mbele kuona ukiingia madarakani lakini sasa mambo yamekuwa kinyume na sikuone tena huku jimboni kwako Maeneo ya manzese, kwamfuga mbwa na ukombozi....
Ukweli huku hali ni mbaya sana na hatuna pa kukimbilia, huduma ya maji ni kiama, miundo mbinu ni uchafu mtupu, takataka ndo usiseme spidi ya kukusanya hela ya taka ni kubwa kuliko huduma yake, barabara zimeekwa taa ila ziliwaka siku moja na nadhani zitawaka tena siku MH RAIS AKITEMBELEA MANZESE USIKU....! Yapo mengi ya kuongea na wewe kuhusu jimbo lako .........
WAKE UP GUY DON'T LET US DOWN
Mnyika anatumikia chama kwanza nyie watu wa ubungo subirini kwanza.
Wivu mbaya sana, kufanikiwa kisiasa kwa Mnyika kuna kuuma sana.Yule dogoo 2015 harudi.Amejaa misifa tu mungu amsaidie miaka yake miwili.Abaki na ukatibu wenezi wake ndo unamfaa.
Nasema hivi,dar kuna majimbo mangapi?nijuavyo mimi ni majimbo 2 tu yanaongozwa na chadema.najua hakuna sehemu kuna shida ya maji kama kinondoni kwa Idd Hazzan naamini na hayo mengine kuna kero kibao,swali ni kwanini wanachadema muishio dar mkubali kila mara Mnyika tu ndio anayeleumiwa hapa Jf as if hajafanya kitu,mnashidwa nini kuwaanika na hao magamba hapa?
Nitarudi
Mnyika anatumikia chama kwanza nyie watu wa ubungo subirini kwanza.[/QUObTE]
Mkwele anatumikia kwanza familia yake, kisha mabwana zake wa kule Unmgm.Zjlaya, na mwisho wale magaidi chama chake hakijui na wanaichi wahajui.