Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
Mbona myika anawajambisha!hahahahaha subirini huyo mama yenu kama atapata kura
Huku malamba mawili hatumpi kura kutuongopea maji na hakuna maji hadi kesho
kwani mnyika anakusanya kodi?kama utaipa kura ccm ni kichekesho. maana hiyo ndo inayokusanya kodi zetu....
Huku malamba mawili hatumpi kura kutuongopea maji na hakuna maji hadi kesho
Hicho ki kura chako kimoja kitasaidia nini ?Huku malamba mawili hatumpi kura kutuongopea maji na hakuna maji hadi kesho
Hivi huyu mama ndio yule anayesuka twende kilioni ?Kwahiyo ndio fenela kawatuma au
Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe.