makoko jumanne
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 584
- 164
Hali ya mgombea ubunge jimbo la kibamba sio nzuri baada ya wananchi wengi kumkataa hali iliyomlazimu kuhaha usiku wa manane akitafuta kura kwa wananchi wa jimbo hilo ambao wengi wao wana asili ya kanda fulani ambapo watu wake wanasifila kwa kuwa na msimamo,kazi kwako mnyika na ahadi hewa ulizowaahidi wananchi katika kipindi kilichopita