Mnyambulisho wa K' Matata

Kwa maelezo haya bado wapo wasio elewa kabisa utaona tuu si tupo hapa !!

Hhahahahaha yaani kama uliotea vile, wapo ambao hawakuelewa, hawajaelewa na sijui kama wataelewa looh.

Basi acha ibaki K' Matata tuu ntafanyaje sasa... ehehehe.
 
...K' nyingine yeyote mnayoiwaza au kuifikiria... ni kweli K ni moja tu ambayo ndiyo matata, sijui kama ndiyo ya kwako au la!!

Ahahahahhaaa jamaniii, mie ni Kasinde aka Kasie aka the Kasibas yote hiyo inaleta K' Matataz hahahhaaa

Ila si ile K yenu pendwa hii ni K' Matata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…