Mnyama gani huyu?

Chura wagogo humuita mitundu huwa wanamla huyo
 
Chura anajulikana kama kimbofa anapatikana sana wakati wa mvua.
 
Nakumbuka alikuaga shoga pale kihansi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…