Wapuuzi hao!
Port vipi upo? Unaona siasa zetu? Jiandae maana inaonekana mbele kugumu huko!
Hajui analolisema , wanaotaka kuvunja muungano ni wale waliobadili katiba ya Zenji na kusema Zanzibar ni Nchi wakaonyesha na mipaka yake maana walichukizwa na jibu la Pinda kwenye bunge lililopita (2005-20010) . Mara mafuta ni ya znz wabara wasituingilie .... , sasa mwenye kuuchukia muungano ni nani ? Inaonesha Mhe. Mnyaa ni Mnyaa kweli anazungumza ili wampigie makofi ,.,,,,Hivi nawauliza CUF hawawezi kuchangia bungeni bila kuwasema vibaya CHADEMA?
Huyu Mnyaa, mbunge wa Mkanyageni kupitia CUF badala ya kuchangia hotuba ya rais yeye anakazania kuwasema chadema....
.....ooh sio chama cha kitaifa eti kwa sababu hawana mbunge pemba,
.....ooh wanavuruga amani,
.....ooh wanataka kuvunja muungano.
CUF hizo najua ni chuki binafsi baada ya chama chenu kupoteza popularity bara.
Mnyaa unatia kinyaaaaaaaaaaaaaaaa!
Chadema mnapoteza umarufu kwa maana mnajadili watu badala ya kufanya siasa ,yaani mupo mupo tu mnapiga makitaimu ,wakati watu wanaenda mchakamchaka.
Hivi nawauliza CUF hawawezi kuchangia bungeni bila kuwasema vibaya CHADEMA?
Huyu Mnyaa, mbunge wa Mkanyageni kupitia CUF badala ya kuchangia hotuba ya rais yeye anakazania kuwasema chadema....
.....ooh sio chama cha kitaifa eti kwa sababu hawana mbunge pemba,
.....ooh wanavuruga amani,
.....ooh wanataka kuvunja muungano.
CUF hizo najua ni chuki binafsi baada ya chama chenu kupoteza popularity bara.
Mnyaa unatia kinyaaaaaaaaaaaaaaaa!
yani mpaka leo wabara tumeshindwa kujua zenji kuna mabugabuga tu?