Mnunuzi wa mihogo

tricecriss

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
225
59
Nina mihogo kwenye shamba lenye ukubwa wa heka 2 lipo mlandizi ninatarajia kuvuna mwezi wa saba ni muhogo aina ya ndope natafuta mteja atakaye nunua mihogo yote au hata heka moja sio mbaya shamba lipo umbali wa km 2 toka barabara ya morogoro.
 
@ Tozi25: kama hujui kitu au huwezi kutoa msaada juu ya jambo husika sio lazima kuchangia unaweza kupitia na kuacha sio swala la kuchangia mambo ya kebehi. Tunaharibu jukwaa.
 
Itauzikana tu mkuu mwezi huu huu katikati maana ramadhan mdo inaingia ndo futat kubwa hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom