kuku87 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 1,220 Reaction score 296 Jun 5, 2013 #1 niko na laptop HP Compaq cq 63, HD 160gb, ram 2gb iko kwenye good look I guess imecrash motherboard coz haitaki kuamka nataka kuiuza kama screpa mnunuzi ajitokeze
niko na laptop HP Compaq cq 63, HD 160gb, ram 2gb iko kwenye good look I guess imecrash motherboard coz haitaki kuamka nataka kuiuza kama screpa mnunuzi ajitokeze
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,732 Reaction score 6,631 Jun 5, 2013 #2 hebu sema bei ya hiyo screpa
kuku87 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 1,220 Reaction score 296 Jun 5, 2013 Thread starter #3 Ndugu nataka mnunuaji ajichinje mwenyewe mana hata sijui niuze ngapi
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,601 Reaction score 6,723 Jun 5, 2013 #4 Nami nauza Laptop Dell D610 inawaka na kukata moto.
N Nyasiro JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 1,201 Reaction score 551 Jun 5, 2013 #5 na mimi nauza dell latitude D610 kama screpa.... kuanzia HDD, RAM, Display na kadhalika....
kuku87 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 1,220 Reaction score 296 Jun 8, 2013 Thread starter #6 watu bwana mtu amapandikizia tangazo lake juu ya tangazo la mwenzie
C chicco JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 748 Reaction score 254 Jun 8, 2013 #7 kuku87 said: Ndugu nataka mnunuaji ajichinje mwenyewe mana hata sijui niuze ngapi Click to expand... hata 50,000 tsh utachukua?
kuku87 said: Ndugu nataka mnunuaji ajichinje mwenyewe mana hata sijui niuze ngapi Click to expand... hata 50,000 tsh utachukua?
kuku87 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 1,220 Reaction score 296 Jun 8, 2013 Thread starter #8 chicco said: hata 50,000 tsh utachukua? Click to expand... ongeza mara mbili
kuku87 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 1,220 Reaction score 296 Jun 8, 2013 Thread starter #9 chicco said: hata 50,000 tsh utachukua? Click to expand... ongeza mara mbili