Mnisaidie hili Please: Hawa wadudu wanataka kunihamisha home kwangu

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,095
2,429
Last week nliua tandu hapa home ilikuwa kidogo tu aingie ndani. Siku nyingine pia tena tukiwa nje nikamwona tandu tukamwua.

Leo nyoka ametoka sehemu moja ya paving blocks kwenye uwazi kaingia sehemu nyingine.so yuko chini huko kwenye compound nje tu ya mlango wa jikoni.

Kwa asili mimi ukinambia huku kuna nyoka kule kuna simba. nipo tayari kupita kwenye simba nikapambane naye but si nyoka. Hawa nawachukia na hata akiwa amekufa napomwona mwili wangu unasisimka naweza shindwa hata kula.

Sasa wadau nambieni nimfanyeje huyo nyoka. kuna dawa gani ambayo niweke kwenye hayo mashimo afie humo humo.au eneo zima pia liwe treated maana sasa nakosa amani watoto wakicheza nje itakuaje na huyu mdogo anapenda kukaa chini akicheza.

Naomba mnipe uzoefu wenu dawa ambayo itaondoa kabisa aina hii ya wadudu kama nyoka, tandu,nge na ndugu zao maana naona kama wanataka nifanya nihame hapa home.
 
Kwa nyoka ni kuchoma mpira ile harufu itamtoa popote alipo unachotakiwa wakat wa kuchoma uwe well equipped kiasi akitoka tuh unamaliza. .ila angalia aina ya nyoka kama ni black mamba we sepa tu huyo ni zaid ya comando kipensi

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli mkuu. kama ni ni black mamba bora ahame tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maeneo gani hayo?? Ningelikuwa ni weye na hivi tena una watoto ningehama tu nikajikalie nyumba ya kupanga katikati ya mji. Hujui thamani ya mtoto?? Je ukiwa kazini hg akakupigia simu kuwa mtoto kang'atwa na mdudu utafanyaje?? Nasema; Hama tena uza hiyo nyumba uhamie town center karibu na uhindini. Panga gorofani
 
Ila we jamaa tatizo linatatuliwa lakini sio kulikimbia yaani nyoka ndo akuamishe hivyo we unaonekana hta panya wakiwa ndani utahama uwachie chumba
 
Last week nliua tandu hapa home ilikuwa kidogo tu aingie ndani. Siku nyingine pia tena tukiwa nje nikamwona tandu tukamwua.

Leo nyoka ametoka sehemu moja ya paving blocks kwenye uwazi kaingia sehemu nyingine.so yuko chini huko kwenye compound nje tu ya mlango wa jikoni.

Kwa asili mimi ukinambia huku kuna nyoka kule kuna simba. nipo tayari kupita kwenye simba nikapambane naye but si nyoka. Hawa nawachukia na hata akiwa amekufa napomwona mwili wangu unasisimka naweza shindwa hata kula.

Sasa wadau nambieni nimfanyeje huyo nyoka. kuna dawa ganfgi ambayo niweke kwenye hayo mashimo afie humo humo.au eneo zima pia liwe treated maana sasa nakosa amani watoto wakicheza nje itakuaje na huyu mdogo anapenda kukaa chini akicheza.

Naomba mnipe uzoefu wenu dawa ambayo itaondoa kabisa aina hii ya wadudu kama nyoka, tandu,nge na ndugu zao maana naona kama wanataka nifanya nihame hapa home.
Mkuu,kazi yangu mimi nafanya fumigation na kuuwa hawa viumbe,daw

Last week nliua tandu hapa home ilikuwa kidogo tu aingie ndani. Siku nyingine pia tena tukiwa nje nikamwona tandu tukamwua.

Leo nyoka ametoka sehemu moja ya paving blocks kwenye uwazi kaingia sehemu nyingine.so yuko chini huko kwenye compound nje tu ya mlango wa jikoni.

Kwa asili mimi ukinambia huku kuna nyoka kule kuna simba. nipo tayari kupita kwenye simba nikapambane naye but si nyoka. Hawa nawachukia na hata akiwa amekufa napomwona mwili wangu unasisimka naweza shindwa hata kula.

Sasa wadau nambieni nimfanyeje huyo nyoka. kuna dawa gani ambayo niweke kwenye hayo mashimo afie humo humo.au eneo zima pia liwe treated maana sasa nakosa amani watoto wakicheza nje itakuaje na huyu mdogo anapenda kukaa chini akicheza.

Naomba mnipe uzoefu wenu dawa ambayo itaondoa kabisa aina hii ya wadudu kama nyoka, tandu,nge na ndugu zao maana naona kama wanataka nifanya nihame hapa home.
Mkuu ,hizi ndio kazi zetu,kampuni yetu tunafanya fumigation majumbani na maofisini,dawa maalum za nyoka zipo,na tukipulizia ni fasta tu ,kama vipi njoo private tuyajenge
 
Kama ni makazi mapya hao wadudu watasumbuwa badae watakimbia, wkt nimehamia mbezi nyoka na tandu walisumbuwa sana nashukuru hakuna aliyewahi kung'atwa na nyoka wala Tandu japo walikuwa wakiingia ndani.
Nishauwa sana nyoka ndani usiku au mchana lkn kwa sasa wote wamekimbia nadhani kutokana na kuongezeka kwa watu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last week nliua tandu hapa home ilikuwa kidogo tu aingie ndani. Siku nyingine pia tena tukiwa nje nikamwona tandu tukamwua.

Leo nyoka ametoka sehemu moja ya paving blocks kwenye uwazi kaingia sehemu nyingine.so yuko chini huko kwenye compound nje tu ya mlango wa jikoni.

Kwa asili mimi ukinambia huku kuna nyoka kule kuna simba. nipo tayari kupita kwenye simba nikapambane naye but si nyoka. Hawa nawachukia na hata akiwa amekufa napomwona mwili wangu unasisimka naweza shindwa hata kula.

Sasa wadau nambieni nimfanyeje huyo nyoka. kuna dawa gani ambayo niweke kwenye hayo mashimo afie humo humo.au eneo zima pia liwe treated maana sasa nakosa amani watoto wakicheza nje itakuaje na huyu mdogo anapenda kukaa chini akicheza.

Naomba mnipe uzoefu wenu dawa ambayo itaondoa kabisa aina hii ya wadudu kama nyoka, tandu,nge na ndugu zao maana naona kama wanataka nifanya nihame hapa home.

Cha kwanza weka fundi asilibe hizo joint za paves, unaachaje zinakuwa wazi hivyo mpaka wadudu wanapata hifadhi?

Weka raba kwenye mlango chini wadudu hawapiti kuingia ndani, mie kuna vile vipanya vidogooo hujui baba yupi mtoto yupi! Vilikuwa vinapenya kwenye mlango, nikaita fundi aliniwekea hiyo raba ikawa kama urembo ila ina kazi! Tangu hapo panya nehiii!

Pia fuga mbwa au paka husaidia sana kukupa alert kwa vitu kama hivyo. Huna haja ya kuhama nyumba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom