Mnipeni changamoto kuoa mwanamke mwanasiasa

Mnipeni changamoto kuoa mwanamke mwanasiasa

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Mke wangu anapenda sana siasa kiasi kwamba anataka kuingia kwenye siasa ila bado tunawatoto wadogo sana nimemwambia asubiri kidogo! Naomba uzoefu kwa wakongwe wa siasa changamoto ya kuoa mke mwanasiasa.

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1438702559.611950.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1438702559.611950.jpg
    16.9 KB · Views: 537
Hakuna tabu ila usimruhusu aende ccm kwa sababu utakua umepoteza mke mazima
 
Ungekuwa specific kidogo!kupitia chama au taasisi gan ya kisiasa? Kama ni ccm mwanangu utachapiwa sana! Gono ni miongon mwa magonjwa yanayotoweka kwa kasi lkn mwana utajikuta unanililetewa home! Ccm ni balaa ndugu yangu hao ndio wamei advance ngoma ya kigodoro kuwa ngoma ya kishenzi na kuwa gulio la ngono kama huamin angalia mikutano ya ccm dodoma halaf uone yale mapashkuna yaan mashanging au muangalie jully alivyochoka mwili na akili! Kama ni huko mpe ban ya kudumu mnama

Pascal Ndege
 
Last edited by a moderator:

jamani wamependeza nini kama ukawa nini kama lowassa???
 
Pascal Ndege

Wakati mwingine jina lake linaweza kukatwa na akatakiwa kutafuta chama kingine cha kuhamia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom