Nna mnukuu
"Nchi hii hakuna Maendeleo bila ya CCM kuamua na tukiamua yanakuja na tukiamua hayaji na cha kutufanya hakipo.Ee ,kwani wewe Diwani ulipokuwa Chadema hapa tulileta kitu hapa ?.Aah tulileta ?.Waambie tulileta ?Hakuna hatuwezi kuleta tutaletaje !?.Yaani tukuletee tu kienyeji enyeji."
Mwisho wa kunukuu.Haya tunaomba Maoni yako.