Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

...Dua wa jadi, Fundi Said na Chid Chid Chitenda wa Mahuta Shimoni. Chivala vala S Chivala vala, Nan-gwagwa wakiwa Newala.
 
Kuna mabrother men fulan iv walikua nao Neva miss radio station zote walikua wanapiga sim toka "Til I Die Hair Cuttin Saloon" kinondon nazan majina Yao cyakumbuk wako wap cjui hawa nao.
Ebwana nawakumbuka sana hawa jamaa " till i die hair cuttin saloon" sio komakoma kweli
 
John Dilinga Matlou a.k.a DJ JD amerudi hewani kupitia kipindi alichobuni miaka hiyo Music Billboard a.k.a mtaa wa mangoma radio one stereo! nadhani pengine kuna wapiga simu wakongwe wanaweza kurudi kidizaini kama akina Chesco,Mohamed Kiyaiyai, zile totoz za masaki enzi hizo n.k
Last week jumamosi saa tano hadi saa saba zilipigwa old skool balaa tupu!
 
Hahaha pia hawa wa kipindi kile cha aunt ndina cha mchana pamoja na leo tena na africa bambataa kina
1.inde Mwasandende akiwa kipunguni ukonga
2. Mr UD


Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
 
Habari wana jf... Nimekaa mahali nikaanza kuwakumbuka wadau fulani walikuwa maarufu sana redioni... sanasana radio one kipindi hicho.. watu hao ni kama CHESKO MZEE WA MATUNDA was africasana.... ZAGAMBA wa mabibo... IMMA KULAYA.... MANKA MUSHI.... watakuwa maeneo gani sasa hv hawa wadau?
 
"Mateso Majonzi Huzuni Kilioooo cha yatimaaaaa,Kilio hiki kiwafikieee Manka Mushi Imma Kulaya Chesco Mzee wa matunda na John zenzee"---Mumini mwin juma.
 
jaman alikuwepo vilevile ALEX Ferguson wa chumvichumvi salaam club
n gdfrey isomba samaki wa bukama ikizu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom