WomanOfSubstance
Platinum Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 972
...ndio maana nikakwambia inatosha.
Kwahiyo katika hitimisho ndio tunakubaliana lengo, nia na madhumuni ya
kina dada/mama kuvaa kivazi hiki (fashion ya hii) ni kututega?
Balaa sana basi na ndoa zetu hii za 'mshumaa'...!
Mh patamu hapo! sasa hapo usipogeuza shingo we si mzima bana kha! Ivi daladala wanapanda kweli assume hakupata siti then mmesimama wote salalee ndo yale yalee ya mluzii kulia!!Lol!!
...ndio maana nikakwambia inatosha.
Kwahiyo katika hitimisho ndio tunakubaliana lengo, nia na madhumuni ya
kina dada/mama kuvaa kivazi hiki (fashion ya hii) ni kututega?
Balaa sana basi na ndoa zetu hii za 'mshumaa'...!
Tafsida hii nayo imenitoa kapa!
Binadamu tunatofautiana sana kama Mbu wanavyotafautiana LOL.
Kuna wenye kuona raha kuleta tafrani katika mioyo na vichwa vya watu kwa jinsi wanavyovaa mivao ya kutia watu majaribuni.Kuna wenye kuvaa wakajali kupendeza na pia hapohapo kuweka staha.
Wastaarabu wanasema ...ukitaka kujipima wewe ni mtu wa namna gani vivazi vyako vitakuweka kwenye mizani.
YOU SHOULD BE ABLE TO STOP A CONVERSATION UPON ENTERING A PLACE AND NOT START A CONVERSATION!
#Ukianzisha gumzo uingiapo mahali ujue umechemsha.Unatakiwa ukiingia..watu wabaki midomo wazi..akili ikifanya kazi ya ziada kujiuliza NI NANI HUYU? na siyo kuanzisha minong'ono..ukivaa camel's foot iko nje nje ujue utaanzisha minong'ono na umbeya.
Hebu ona paka wangu alivyotulia na panya anavyo-bounce juu yake.
Paka kuhisi ati sharubu zake zinachezewa halafu achumpe akifikiri amepata panya kiulaini anaweza ishia pabaya.
Hizo camel's toe or is it camel's foot waachieni wenyewe..kwani mnadhani hawakujiangalia kwenye kioo kabla ya kutoka majumbani mwao?
MBONA wakaka wakipakia mizigo yao ovyo ovyo hawatutamanishi na badala yake wanatutia kichef chefu..arrggghhhhh!
hilo vazi lapaswa kuvaliwa na kitu juu yake.
lakini wabongo kwa ushamba wao utakuta mtu anavaa na kablouse kafupi
halafu leggings zinapendezea zaidi mtu mwembamba kiasi chake unakuta mtu mnene makalio hayo mahips balaa naye yumo tu mama nsipitwe
kutegegka hapo inakuwa lazima.
Mbu usijali ni vijimambo tu hivyo vya mpito wala visikusumbue akili.
raha ya mwanamke apate attention anapopita hahaaa ila mimi sijawahi vaa hizo lol. sijui nijaribu!
Mh patamu hapo! sasa hapo usipogeuza shingo we si mzima bana kha! Ivi daladala wanapanda kweli assume hakupata siti then mmesimama wote salalee ndo yale yalee ya mluzii kulia!!Lol!!
...ndio maana nikakwambia inatosha.
Kwahiyo katika hitimisho ndio tunakubaliana lengo, nia na madhumuni ya
kina dada/mama kuvaa kivazi hiki (fashion ya hii) ni kututega?
Balaa sana basi na ndoa zetu hii za 'mshumaa'...!
Hamna lolote! mnajitega wenyewe.acheni kutamani muone kama mtategeka.Kila jambo linaanzia akilini bwana.Ukiamua ndivyo inavyokuwa.Control yourself man! ebo!Wengine tuna allergy navyo hivi vitu kha!
Hamna lolote! mnajitega wenyewe.acheni kutamani muone kama mtategeka.Kila jambo linaanzia akilini bwana.Ukiamua ndivyo inavyokuwa.Control yourself man! ebo!
...lol, haya bana...
'ndoa za mshumaa' si unajua tena upepo ukija msukosuko wake? kila mtu anakimbilia kukinga mikono 'msijelala kizani'!
Zipo pia za 'umeme wa tanesko', adha ya mgao usiseme!
Nyingine za 'kibatari', ni kama mshumaa, pia kuna kuishiwa mafuta ya taa!
'Jiko la mkaa' linakolea kweli, lakini inategemea mkaa wa nini. Mkaa wa mbuyu ni tofauti na mkaa wa mnazi, wa mgunga, wa msonobari nk!
Siku hizi pia kuna solar, jua likizama kwa heri.
Rechargeable pia zipo, ila wachina wameharibu biashara kwa bidhaa feki. Unaichaji inaonekana 'full', lakini ukitumia dakika chache tu inakupa signal ya 'battery empty'.
Na hayo ma-leggings sasa! Tunajiju au tunajiju.....!