Mnatumia nini kama mbadala wa free Microsoft Office?

Gentleman96

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2019
Posts
912
Reaction score
1,674
Mambo vipi JF .

Ni muda sasa nimekuwa nikitumia free Microsoft word office ku type kazi, CV, barua n.k.

Sasa siku hizi nikijaribu haikubali ku type wala ku edit chochote. Naomba msaada mnatumia nini kama mbadala wa free Microsoft Office?

Note: nimetumia Libre office lakini sio nzuri sana,
Microsoft Office inataka ukilipiwa license key [emoji360]
 
Microsoft office ni bure ukitumia kwenye browser na internet (kama Google docs).

Pia hizo za Offline ni bure ukiwa na Email ya Chuo, hizi email zinapatikana ebay na site nyengine za Online kwa bei nafuu tu.
 
Kmspico.exe
 

Use LibreOffice. It is a better alternative

Here's the download link


Good luck
 
Nikiwa mkoani
 
Ingia hapa kila unacho kihitaji kuhusu MS OFFICE KIPO




 
Tumia libre office! Mimi naitumia karibu mwaka mmoja sasa

Ukisha install tafuta tutorial ya kui configer iwe kama microsoft
 
Tumia libre office! Mimi naitumia karibu mwaka mmoja sasa

Ukisha install tafuta tutorial ya kui configer iwe kama microsoft
Libre ninayo, nadhani configuration ndo ilikua noma,
Ntachek tutorial youtube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…