Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
ugome amri ya amiri jeshi mkuu si unataka makiniki yachimbwe mwilini kwako kama nandi alivyofanywa na billHawatakuelewa comrade, sana sana utaambiwa ugomee amri za wakuu wako,
Hahahahahqhugome amri ya amiri jeshi mkuu si unataka makiniki yachimbwe mwilini kwako kama nandi alivyofanywa na bill
mtarimbo wewe ni Polisi au ni Polisi jamii?Naongea kwa masikitiko makubwa labda ndugu zangu ambao hamko kwenye hii kazi ndo mnatema povu hamjui chochote kuhusu utendaji wa jeshi la polisi Tanzania,kwanza mjue hii nchi imechukuluwa na chama cha mapinduzi(CCM) ikiongozwa na mheshimiwa Dr. John Magufuli sisi kama jeshi hatuwezi kupingana na chama chenye madaraka sisi ni binadamu kama nyinyi na tuna matatizo si kidogo ila tusameheni tunatenda kwa ajili ya aliyeshika nchi hata NCCR mkishika nchi tutawaheshimu kama CCM pls tusameheni watanzania wenzetu najua mna mengi mnahitaji toka hii Serikali msipopata msilaumu hili jeshi.
Km mnapelekeshwa na chama fulani kwasbb imeshika nchi nyie siyo jeshi la polisi bali ni tawi dogo la ccm.Naongea kwa masikitiko makubwa labda ndugu zangu ambao hamko kwenye hii kazi ndo mnatema povu hamjui chochote kuhusu utendaji wa jeshi la polisi Tanzania,kwanza mjue hii nchi imechukuluwa na chama cha mapinduzi(CCM) ikiongozwa na mheshimiwa Dr. John Magufuli sisi kama jeshi hatuwezi kupingana na chama chenye madaraka sisi ni binadamu kama nyinyi na tuna matatizo si kidogo ila tusameheni tunatenda kwa ajili ya aliyeshika nchi hata NCCR mkishika nchi tutawaheshimu kama CCM pls tusameheni watanzania wenzetu najua mna mengi mnahitaji toka hii Serikali msipopata msilaumu hili jeshi.
Mhhh mbona hueleweki.Naongea kwa masikitiko makubwa labda ndugu zangu ambao hamko kwenye hii kazi ndo mnatema povu hamjui chochote kuhusu utendaji wa jeshi la polisi Tanzania,kwanza mjue hii nchi imechukuluwa na chama cha mapinduzi(CCM) ikiongozwa na mheshimiwa Dr. John Magufuli sisi kama jeshi hatuwezi kupingana na chama chenye madaraka sisi ni binadamu kama nyinyi na tuna matatizo si kidogo ila tusameheni tunatenda kwa ajili ya aliyeshika nchi hata NCCR mkishika nchi tutawaheshimu kama CCM pls tusameheni watanzania wenzetu najua mna mengi mnahitaji toka hii Serikali msipopata msilaumu hili jeshi.