Mnasoma kweli hapo UD? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnasoma kweli hapo UD?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by busar, Jan 11, 2012.

 1. b

  busar JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mara kadhaa nimejiuliza juu uhakika wa mitaala yetu hapa bongo, na hasa Kama unaotumika udsm. Coz migomoooooo..migomoooooo....siasiaaaaaa.. walimu wao nao kila cku itawaona kwenye screen za tv tuuuuuu..wakitoa maoni juu ya jamvi lolote...na wanachuo wao mtaani nyyiiiingi.... MKANDALA REKEBISHA HALI HIYO PLS, hawa ndo chanzo cha ubabaishaji katika maeneo ya kazi.. Pls, tumechoka na nyie wababaishaji. Hatukuwatuma mkagome,,,, rudini mkachunge mbuzi na kubwia kuberi.
   
 2. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,652
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  baelezee
   
 3. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Wewe ni mwanafunzi wa chuo au?
   
 4. b

  busar JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  mi ni employer@ hbi
   
 5. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  employer wa bar gani?
   
 6. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ushauri wangu kwa ndugu zangu hawa nimeshautoa toka muda mrefu sana na jana mukandala ameurudia tena kuwa kuwarudisha wenzenu kwa migomo hakuna tija maana hakutakuwa na mafanikio la msingi ni mawili tu. moja meza ya mazungumzo yenye makubaliano ya msingi na meza hiyo iwe na mediators kama ilivyokua rwanda na burundi (mediators wawe waalimu aka UDASA na hapa si viongozi kina kitila bali ni senior Professors wawili, wafanyakazi wa kawaida mmoja, mfanyabiashara mashuhuri, diplomat asiye na utata kwamfano mnaweza kumtumia dean of diplomatic corps Balozi Juma Khalifan Mpango ambaye ni balozi wa DRC Kongo na mtu wa serikali kama Sadi Mwema au Suleiman Kova) hawa wana busara na wanaweza kuomba kuongea na baraza lenu la chuo na waliofukuzwa pamoja na wanaharakati na kutoa ushauri kwa uongozi wa DARUSO na wa Chuo vilevile. Kwa hili kwanzawanaharakati mtajenga legitimas na kuondoa ile shaka ya kutumwa kisiasa hata kama ukweli upo kwapani.


  Njia ya pili niliwasahauri wakimbie mahakamani haraka wakaweke pingamizi la kutotekelezwa kwa maamuzi ya baraza mara tu baada ya kupokea barua. Hili lingesaidia kwa kuwa mahakama ingetoa tamko la wao kuendelea na masomo mpaka hapo hukumu yao itakapo kamilika lakini huku nyuma wakikaza msuli wa kusoma. Wanasheria mtanisaidia hapo maana mimi si mtaalamu sana wa sheria ni mtaalamu katika international conflict resolusion.


  Hayo nimerudia baada ya leo kuamua kujiunga na wanamaandamano ili kupata ni vipi hawa ndugu wako makini na jambo husika lakini ukweli ni kwamba mpaka saa saba mchan pale tahariri square walikua 12 na saa kumi walibaki wanne tu huku wakilaumiana kuwa wamesalitiana. Huku hao wakizunguka huku na kule askari walikuwa kila pahala hasa askari kanzu na watu wanne wamekamatwa kwa kujaribu kuwatoa waliokuwa wanaendelea na masomo madarasa. Sasa basi, hapa tunajifunza nini? Pamoja na kundi hili kutaka chuo kifungwe ili waonekane ni washindi hawajajifunza/ hawajui madhara ya kufunga chuo wakati wenzao wanafanya test wao hawafanyi wanazunguka huku na kule. Hapo chuo kikifungwa kama enzi zetu tulipokuwa tunagomea maslahi ya nchI mkirudi ni mtihani huku nyuma testi hujafanya hivyo course work ndogo lazima utacheza disco mutu yangu!!!!!!!!!!!!!!!!! pili nimejifunza kuwa hawana mpangilio na hawajui hasa nini wanachokitaka (strategic plani 20%). Mipango thabiti imeishia leo maana kesho sikukuu na walichotegemea ni chuo kifungwe leo hakikufungwa na wenzao nimenasa statement iliyotolewa jioni hii na Waziri mkuu wa DARUSO kueleza kuwa bado serikali haiungi mkono mgomo na kuwa serikali ipo haijafutwa na haitafutwa.
  (
  UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
  DAR ES SALAAM UNIVERSITY STUDENTS ORGANISATION (DARUSO)
  P. O. BOX 35080-DAR ES SALAAM-TANZANIA
  11/01/2012
  TAARIFA KWA UMMA.
  Kikao cha Baraza la Chuo kilifanyika tarehe 10/01/2012 na kujadili hali ya Chuo kwa ujumla na Serikali ya DARUSO iliwakilishwa. Hivyo basi Serikali ya Wanafunzi inapenda kuutaarifu umma yafuatayo:1. Serikali ya wanafunzi (DARUSO) haijafutwa, ipo na inaendelea kufanya kazi. Kuhusu taarifa zilizoenea katika vyombo vya habari kuwa DARUSO imefutwa ni uzushi na tunafanya taratibu za kuwachukulia hatua watu na vyombo vyote vya habari vilivyoeneza uvumi huo.2. Serikali ya wanafunzi inaendeleza juhudi za majadiliano kuhusu hatma ya wanafunzi ambao wamefukuzwa na kusimamishwa masomo.3. Aidha, tunaomba wale wanafunzi wachache ambao wanaendeleza mgomo warudi madarasani na kuendelea na masomo kama kawaida. Pia serikali ya wanafunzi inasisitiza kuwa mgomo unaoendelea sio halali kwani taratibu zote za kisheria na kanuni hazikufuatwa. Kwahivyo tunawaomba wanafunzi wasitishe maandamano hayo ili kuruhusu jitihada zinazochukuliwa na viongozi wao kuzaa matunda ndani ya siku chache kuanzia leo hii tarehe 11/01/2012.)

  Hapo naendelea kuwashauri ndugu zangu mkirudi kwenye meza ya mazungumzo mafanikio yataonekana zaidi ya vita. Ni ushauri tu najua wengi watanisema kwa kadiri wajuavyo lakini ni mtazamo wangu.
   
 7. WILSON J

  WILSON J Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wanacheza na maisha hawa
   
 8. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  wanaosoma ud ni vichwa akija mdogo wako hapa lazima afeli!!
   
 9. R

  Rushdie jr Member

  #9
  Jan 12, 2012
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  virusi huyo
   
 10. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  its beyond Mkandala's scope!!!
   
 11. mka

  mka JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kakudanganya nani mzee?
   
 12. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Bora wakabwie kubeli tu maana naona wamechoka na shule...
   
 13. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Wangekua hawasomi wangekua wame disco though all tym....kama wanacheza then wanafaulu 2 me ts k!!
   
Loading...