Mnasemaje kuhusu hizi picha?

Na hizi je???

 

Attachments

  • Lou Ferrigno 196 and Flavio Baccianini 147.jpg
    139.7 KB · Views: 61

ya kwanza ni uzembe wa dereva.. wewe huwezi kuingiza gari imejaa mzigo hivyo kwenye tope kama hilo kabla hujaangalia njia yenyewe

ya pili huyo dingi akili zimemruka huko kwenye kichwa yani ni hakuna kitu au kaambiwa afanye hivyo na sangoma wa mbele huko.. wakati huku bongo tunaambiwa tufanye hivyo nite kali na masangoma wetu japo kua ni upumbafu mtupu pia...!

ya tatu yaani huyo dogo anaonekana ni shujaa kinoma ila ataumwa mda sio mrefu hapo na ninaomba nijue kua anaendeleaje hospitalini coz najua atakua amelazwa

ya nne ni masikitiko ya miundo mbinu ya nchi hii yaani hapa ninaumia kinyama ila ninaamini magufuli anaona hili pia coz hapa jf anapatikana..

ya tano ndio imeniacha hoi kweli kweli,, huyo jamaa anajua kuandika na anajua kuwasilisha mawazo yake kama jinsi anavyoongea na wasela wake kila siku yani imeniachia crack kwenye mbavu hiyo picha..!

ya sita hiyo ni picha duka

ya saba hiyo inawezekana kabisa kwenye ndege mbovu hasa ndege ndogo zikiwa zinaingizwa workshop

ya nane pia ni picha duka... katika ile speed hakuna ambae anaweza kukaa juu na akatulia vile hakuna kabisaaa

nimemaliza ninaondoka kwaheriiiiiiiiii:A S embarassed:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…