Mnara wa Askari Dar 1961

Bingwaman

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
548
Reaction score
288
Katikati ya jiji la Dar es Salaam mwaka 1961, zaidi ya miaka 50 iliyopita.
 
Chini ya mnara huo wa askari kuna hazina ya Mjerumani imefukiwa hapo na ndio alama yao ya zilipo hazina zao koote Tanganyika zinapoanzia.
 
nilishtuka kidogo kuona hii comment yako ila nilipoangalia jina lako aaaaaaaaaaaaaah amaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Chini ya mnara huo wa askari kuna hazina ya Mjerumani imefukiwa hapo na ndio alama yao ya zilipo hazina zao koote Tanganyika zinapoanzia.
 
Chini ya mnara huo wa askari kuna hazina ya Mjerumani imefukiwa hapo na ndio alama yao ya zilipo hazina zao koote Tanganyika zinapoanzia.
Hazina ipo chini ya jengo la Central Polisi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…