Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,446
- 34,156
Maamuzi ya nani?Ni maamuzi tu.
Anaehitaji kufanya maamuzi.!Maamuzi ya nani?
Kwa ivo ni kwa nini kuna serikali na ni kwa nini hiyo serikali iwatoze kodi hao wananchi wanaotakiwa kujiongeza??Anaehitaji kufanya maamuzi.!
Ipo kuwaongoza watu, yenyewe inaona tayari imeshafanya kwa nafasi yake. Kama kuna ziada afanye ilimradi hatotenda kosa.Kwa ivo ni kwa nini kuna serikali na ni kwa ini hiyo serikali iwatoze kodi hao wananchi wanaotakiwa kujiongeza??
😄😃😀Sisi ufipa tunataka lockdown na tupewe chakula
Sent from Tapatalk
Akili za watu wengine...Sisi ufipa tunataka lockdown na tupewe chakula
Kwenye nyakati hizi kosa ni lipi?Ipo kuwaongoza watu, yenyewe inaona tayari imeshafanya kwa nafasi yake. Kama kuna ziada afanye ilimradi hatotenda kosa.
Sijaelewa hoja ya wana CCM wa JF kuhusu gonjwa la COVID-19 kwamba watanzania wajiongeze wenyewe kufanya maamuzi ya kujiwekea "Lock down" au "Self Isolation" kwa kuwa SI LAZIMA wasubiri waambiwe na serikali kufanya hivyo!!
Ninachojiuliza ni kwa nini watanzania wanaambiwa "wajiongeze" wakati kuna serikali inayowatoza kodi? Hivi kwa nini kuna serikali kumbe wakati watanzania wanaweza tu kuendesha maisha yao "kwa kujiongeza"?
Kulingana na Sheria au katiba ilivyoainisha.Kwenye nyakati hizi kosa ni lipi?
Tayari nina "Tax clearance" ya 2020. Wasiolipa kodi ni watu wa Lumumba mnajulikana!!Msiolipa kodi jiongezeni,wantanzania tupo karibu milioni 60,wanaolipa kodi hawafiki miliion 10,kwanini msijiongeze?
Aisee. Hivi serikali inaweza nayo kuvunja Katiba na sheria? Ikitokea ivo watanzani wajiongeze ama inakuwaje?Kulingana na Sheria au katiba ilivyoainisha.
Sijaelewa hoja ya wana CCM wa JF kuhusu gonjwa la COVID-19 kwamba watanzania wajiongeze wenyewe kufanya maamuzi ya kujiwekea "Lock down" au "Self Isolation" kwa kuwa SI LAZIMA wasubiri waambiwe na serikali kufanya hivyo!!
Ninachojiuliza ni kwa nini watanzania wanaambiwa "wajiongeze" wakati kuna serikali inayowatoza kodi? Hivi kwa nini kuna serikali kumbe wakati watanzania wanaweza tu kuendesha maisha yao "kwa kujiongeza"?
Kwani "Lock down" ni nini?Lakini ukiweka watu lockdown kwa nchi maskini ya kwanza kutoka mwisho , nikusababisha, matatizo nchi za Africa nimaskini sana.
Hivi "Lock down" dunia nzima zinafanana?Wakati nchi zingine zikiona ATHAR za Lock down na kuamuna kutaka kuanza kurud kufanya kazi watu wa ufipa wao wamezid kushikilia bango la Lock down wakiona ndio point