Mnapotaka Watanzania wajiongeze kwa nini kuna serikali?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,292
33,903
Sijaelewa hoja ya wana CCM wa JF kuhusu gonjwa la COVID-19 kwamba Watanzania wajiongeze wenyewe kufanya maamuzi ya kujiwekea "Lock down" au "Self Isolation" kwa kuwa SI LAZIMA wasubiri waambiwe na serikali kufanya hivyo!!

Ninachojiuliza ni kwa nini Watanzania wanaambiwa "wajiongeze" wakati kuna serikali inayowatoza kodi? Hivi kwa nini kuna serikali kumbe wakati Watanzania wanaweza tu kuendesha maisha yao "kwa kujiongeza"?
 
Kwa ivo ni kwa nini kuna serikali na ni kwa ini hiyo serikali iwatoze kodi hao wananchi wanaotakiwa kujiongeza??
Ipo kuwaongoza watu, yenyewe inaona tayari imeshafanya kwa nafasi yake. Kama kuna ziada afanye ilimradi hatotenda kosa.
 
Msiolipa kodi jiongezeni,wantanzania tupo karibu milioni 60,wanaolipa kodi hawafiki miliion 10,kwanini msijiongeze?
Sijaelewa hoja ya wana CCM wa JF kuhusu gonjwa la COVID-19 kwamba watanzania wajiongeze wenyewe kufanya maamuzi ya kujiwekea "Lock down" au "Self Isolation" kwa kuwa SI LAZIMA wasubiri waambiwe na serikali kufanya hivyo!!

Ninachojiuliza ni kwa nini watanzania wanaambiwa "wajiongeze" wakati kuna serikali inayowatoza kodi? Hivi kwa nini kuna serikali kumbe wakati watanzania wanaweza tu kuendesha maisha yao "kwa kujiongeza"?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani Nguvu kubwa sahivi iwekezwe kwenye kufanya mass testing tu/ Lakini ukiweka watu lockdown kwa nchi maskini ya kwanza kutoka mwisho , nikusababisha, matatizo nchi za Africa nimaskini sana , ukiangalia Uganda watu wanavyoteseka ...na serikali inaishia kuwapa Unga wa dona tu the
 
Wakati nchi zingine zikiona ATHAR za Lock down na kuamuna kutaka kuanza kurud kufanya kazi watu wa ufipa wao wamezid kushikilia bango la Lock down wakiona ndio point

Back
Top Bottom