Mnaozindika nyumba

Dunia haiishi vituko kuna dogo kachapa kazi kajenga nyumba nzuri tu cha ajabu kaweka kibanda kidogo kilichoezekwa na nyasi urefu kama mita moja, anasema ni kinga ya wachawi
 
Haha haa,nimependa sana mawazo ya watu kuhusu hii mada!
 
Nilikua nasikia kuwa wanaojenga nyumba mara nyingi huwa wanazizindika, sijui kuchimbia madude gani ili mchawi ashindwe kuroga.
Mi yangu inakaribia kwisha kwisha kabisa na sijawahi kufanya huo upuuzi na sijafa, hii inakuaje!
Kaka Jambazi badili hiyo ID haraka sana, kumbe jambazi linaogopa kiasi hicho? Kaka mkaribishe YESU nyumbani kwako ili awe mlinzi wa nyumba yako, hakika hutajuta!!!
 
Sio kwamba naitaji kuzindika, bali nataka kujua kwanini watu wanachimbia madude ilhali mi sijafanya ivo na ninapeta tu?!
 
Nilikua nasikia kuwa wanaojenga nyumba mara nyingi huwa wanazizindika, sijui kuchimbia madude gani ili mchawi ashindwe kuroga.
Mi yangu inakaribia kwisha kwisha kabisa na sijawahi kufanya huo upuuzi na sijafa, hii inakuaje!

Usifanye mambo kwa kuiga mkuu, jihadhari. Hayo ni maagano na nguvu za giza ili zikupe ulinzi.

Usishangae ukijikuta unalazimika kutoa sadaka ya damu kuyapa majini kila mwaka. Wataanza kutaka uwape damu ya kuku, baadae damu ya mbuzi, kisha ya ng'ombe, na hatimaye damu ya mwanao.

Mwamini Mungu. Maandiko yanasema, BWANA asipoijenga nyumba, waijengao wanafanyakazi bure; BWANA asipoulinda mji, waulindao wanakesha bure [Zab. 127:1-2].

Vv

Vv
 
Nilikua nasikia kuwa wanaojenga nyumba mara nyingi huwa wanazizindika, sijui kuchimbia madude gani ili mchawi ashindwe kuroga.
Mi yangu inakaribia kwisha kwisha kabisa na sijawahi kufanya huo upuuzi na sijafa, hii inakuaje!
Asante sana kwa kutufahamisha unajenga nyumba
 
1 Bwana asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. Bwana asipoulinda
mji Yeye aulindaye akesha bure.
 
Kiongozi wa dini ataweka nini kuzuia hao wachawi....
 
Sijaroga mtu siku nyingi sana !sema upo wapi nipe ,jina lako na la mama yako ,nywele au sehemu yeyote ya nguo yako ,au sehemu uliyo kanyaga ! nina silaha mpya toleo la 2015!nataka nijaribie kwako inaelekea mweupe wewe kila upande(kiroho na kishirikina)!
 
Uganga wa siku hizi ni fix tu na dawa ya mapenz ni pesa tu mchumba anajileta mwenyewe vinginevyo humpat mtu
 
Nilikua nasikia kuwa wanaojenga nyumba mara nyingi huwa wanazizindika, sijui kuchimbia madude gani ili mchawi ashindwe kuroga.

Mimi yangu inakaribia kwisha kwisha kabisa na sijawahi kufanya huo upuuzi na sijafa, hii inakuaje!

Kama unajua ni upuuzi then achana nao. Ila usije kuuliza tu baadae namna ya kuzindika nyumba.
 
Nilikua nasikia kuwa wanaojenga nyumba mara nyingi huwa wanazizindika, sijui kuchimbia madude gani ili mchawi ashindwe kuroga.

Mimi yangu inakaribia kwisha kwisha kabisa na sijawahi kufanya huo upuuzi na sijafa, hii inakuaje!

Bado Hujaingia Anga Zao Ila Karibuni Tu Utaingia Na Usishangae Kujikuta Umeamkia Mtini au ktk Paa La Nyumba Asubuhi.
 
Asante sana kwa kutufahamisha unajenga nyumba

Na Hajengi Nyumba Bali Anajenga Tu Kibanda Kwani Watanzania Wenye Kujenga Nyumba Ni Wachache Tena Wale Matajiri Tu ILA Sisi Akina Ngumbaru a.k.a Choka Mbaya Huwa Tunajenga Tu Vibanda. Mfano Wa Nyumba Ni Zile Za Masaki, Oysterbay, Mbezi Beach, Mikocheni, Kijitonyama Na Kidoooooooooogo Makumbusho ILA Maeneo Mengine Yote Haswa Ya Uswazi a.k.a Changanyikeni Mzionazo Si Nyumba Bali Ni Vibanda Tu Vya Kujisitiri..........Period!
 
Aina Hii Ya Visasi Naipenda Kuliko Ile Ya Kutoana Mishipa Na Kutenguana Viuno Kwa Ushirikina. Hapa Ni Risasi Tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…