comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,331
- 16,859
Hatari sana hiyoNimetest hapa kucheki salio hata sijaulizwa pin na nimepokea sms ya salio langu. Hii ni hatari sana
Ndio hivyo mfumo una shida karibia week sasaNi kweli asee
🤣 Pesa ya soda ndio shingap, 700?Halotel siweki pesa hata kidogo. Moyo unakuwa mzito nikitaka kuweka hata pesa ya soda.
Vipesa kama 70k, 100k, something like that...Halopesa wanatia wasiwasi.🤣 Pesa ya soda ndio shingap, 700?