Ninavyo mkuu, nicheki 0764453848/0686811173Jamani mimi Dstv ishanishinda. Nataka nihamie Canal+ Sports maana gharama zao nafuu.
Vp ubora wa king'amuzi hiko upoje? Je game zote za EPL na UEFA zinaonyeshwa? Je ana chaneli za HD?
Kwenye lugha tutavumiliana tu hiko kifaransa.
Kwa ambao mshawahi kutumia kisimbuzi hiki njooni mtujuze mawili matatu.
Ahsanteni, heri ya mwaka mpya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa theluthi ya bei ya premium package unapata channels 6 za soka zinazoonesha mechi za mashindano/ligi mbali mbali
Mkuu jaribu kuelezea hapa hapa kidogo, kuwa unavyo na unauzaje?.Na malipo yanafanyikaje?.Na bei za vifurushi zikoje?.Na vipi ofisi yako iko mahala gani?, Na je Huduma ya extra view inapatikana kama ilivo kwa DSTV?.
Tunaviuza 190,000 ikiwa na Kifurushi cha kuanzia na huduma ya ufundi.Sh ngap?na malipo yake kwa mwezi yakoje
Nasikia ukinunua kipya una pata huduma ya bure miezi sita...
Kuna fundi wa madishi alinipa huu mchongo namsikilizia kwanza ndipo niamue...
Nikipiga simu Burundi nao wana nijibu kuna hizo offer basi daaah dstv baibai
Ngoja nimtafute kwanza...Naomba namba ya huyo fundi mkuu
Ngoja nimtafute kwanza...
Nimeshakujibu kule kwenye uzi wa jana. Achana na hawa walanguziPoa mkuu..ukimpata tujue gharama zikoje