Wadau kwa mujibu wa ujumbe alioutoa bhana venance shitindi tusipofatilia swala hili linakula kwetu hapa chamsingi ni kuifkishia serikali malalamiko kwann wasitekeleze agizo la raisi wakati wa kampeni ?.
Unaambiwa hta boom znaendaktilewa kwa %
Ko ukpata mkpo % labda 50 boom pia itapgwa kwa % 50 na hta pesa za field hvyo hvyo!.
Huko kwenye Batch ya kwanza naona Koo za kina Mwakyembe na Ndalichako zipo. Sasa ina maana hawa viongozi wameshindwa kujitolea kwa watoto wa koo zao hadi na wenyewe wapitie bodi?
Tufanyaje hii clip imfikie Mama Ndalichako maana atatumbuliwa hivi karibuni kwa kukosa Kodinesheni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.