Mnaotaka kuhama tiGO mhame, ila wako sahihi kwani kokote duniani Maslahi ya Taifa yako juu ya haki za mtu binafsi

Ndiyo maana njia ya haja kubwa inaitwa Tigo.
 
Mkuu Apple walitoa data na kuwasidia FBI kuzitumia kimyume cha watu wengi wanavyodhania
 
It requires law-enforcement officers to obtain warrants before making most searches. To get a warrant, officers must make sworn statements before a judge "particularly describing the place to be searched, and the persons or things to be seized." The judge may only issue a search warrant if officers show "probable cause" that the person is engaged in criminal activity. Federal law requires that officers report to the court on the results of the search. SIDHANI KAMA KUNA ANAYEPINGA HILO KWA USALAM WETU LAKINI UTARATIBU ANGALAU UWE MZURI KIDOGO, UNAONA WENZETU WALIVYOBORESHA UTARATIBU, MPAKA UISHAWISHI MAHAKAMA. KWETU SISI NAONA HATA UKIKWARUZANA NA OFFICER GROCERY, KESHO YAKE ANAAMKIA TIGO KUOMBA TAARIFA ZAKO. neeyo BAGOSHAAAA!!!!
 
Umekopi masheria ya marekani unayamwaga humu bila kuzingatia muktadha.

Kila jambo lina muktadha wake. Acha ukasuku.
 
Ingekuwa Nchi Mbele Leo Asubuhi Mauzo Ya Tigo Yangetilisika Ila Home Sweet Home Wanaficha
 
Nadhani hii kesi inafanana na kesi ya Jamiiforum na Jamhuri
 
Umekopi masheria ya marekani unayamwaga humu bila kuzingatia muktadha.

Kila jambo lina muktadha wake. Acha ukasuku.
Afadhali sheria je nyie mnaopeleka kila mzungu mahahakami mnasema ni afisa wa ubalozi
 
Vingereza viiiingi mataga mna shida sana , walioendelea hawana muda wa kuhangaika na privacy za watu na kuwarekodi kama kina January makamba na Kinana etc, wale wanahangaika na real threat za ukweli sio maagizo ya kutoka Chato ati watu wafuatiliwe wanamsemaje malaika mkuu, stupid kabisa nyinyi. Bandiko na kinachoendelea na alichofanya mwanasheria wa kwa mpalange havina uhusiano wowoteee, unarukaruka tu mleta uzi
 
Umesoma hiyo "article" ukaielewa!!?
AppleInc walikataa kuwapa FBI wanachokitaka,wakataka mahakama ndiyo iamue,FBI wakaomba kuteendelea tena na hilo swala la kupata msaada wa AppleInc kwani walishafanikisha walichokuwa wanakihitaji,lakini bila msaada wa AppleInc.
Hii ina uhusiano gani na afande comte kwenda Tigo kuomba taarifa za bwana wake comte kwa sababu tu ya wivu!?
soMa
 
Toa namba kesho nije na "print - out" ya vyote ufanyavyo kwa hiyo namba,ndiyo utaona ujinga wa kutofuata sheria,kanuni na taratibu (bila court order).
Unasema usalama mie siogopi namuogopa Mungu na Mungu anajua yote. Ukweli ni huu kwa mpangilio wetu maslahi ya taifa yko juu ya kila kitu.
 
Kwa maelezo ya Apple waliwasaidia FBI ISPOKUWA walikataa kufanya badiriko kwenye mfumo wa simu zao
 
MIMI NA WA NYUMBANI KWANGU WOTE TULIZITUPILIA MBALI LINES ZOTE ZA TIGO SIKU ILEILE TULIPOSIKIA TOKA KWA MWANASHERIA WA TIGO KWAMBA WAKIOMBWA TAARIFA ZA MTEJA HUWA HAWAJISUMBUI KUULIZA HIZO TAARIFA WANATAKA ZA NINI. HII NI HATARI KUBWA MNO! MAADAM KUNA MITANDAO MINGINE HAINA SHIDA TUENDE HUKO. HIVI MIMI NIKIMTUMIA MTU FEDHA KUPITIA TIGO AKANIGEUKA KWAMBA HII FEDHA ALIYONITUMIA ALIKUWA ANANIHONGA NIENDE KUKATA MITI YA BARABARA YA DAR- MOROGORO -IRINGA NITAFANYA NINI? SIITAKI TIGO NA SITAKI KABISA! INATUINGIZA KWENYE MATATIZO MAKUBWA BILA SABABU.
 
ETI KUKATA MITI YA BARABARA YA MOROGORO HADI IRINGA NA KUITANDAZA BARABARANI ILI MAGARI YASIPITE. KWELI!
 
Maslahi ya Taasisi kubwa kama hiyo kushiriki kutoa ushahidi wa uwongo!! achaneni ya siasa za Tanzania mtauza kampuni yenu hiyo.
 
Toka lini maslahi ya CCM yakawa maslahi ya Taifa?Acha uduanzi basi wewe kijana wa Lumumba
 
Dah, reference ni mabeberu🤔❗? Hivi watz na waafrika nani katuloga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…