Mnaotaka kuhama tiGO mhame, ila wako sahihi kwani kokote duniani Maslahi ya Taifa yako juu ya haki za mtu binafsi

Kuna mazingira ambayo taarifa zinapaswa kuchukuliwa bila kufuata matakwa ya sheria- na sheria kuu ni kuwa maslahi ya wengi (Taifa) yana nguvu juu ya kila kitu. Hii ni natural law na natural law haiombwi inakuja tu
Hahahaaaa hav a gud 9t!
 
Hivi unadhani CDM ina wanachama na wafuasi au washabiki wangapi nchi hii? Wote wakiamua kuhama TIGO itapata hasara sana.
Huo wingi wenu unaonekana tu kwenye mambo ya hovyo tu- NI SAWA
 
Sheria siyo kwa ajili ya viongozi ni kwa ajili ya wahalifu kama Mbowe et al. Ndiyo maana wewe uliyelelewa vizuri wala hauko segerea na hauta enda huko hata kama wewe ni mpinzani
Ndiyo tunasema hapa mnajaribu kulinganisha Tanzania na US wakati Tanzania wapinzani wanapigwa risasi, wakimbizi, na wanafunguliwa kesi za kijinga. Kwani Serikali ilivyokuwa ina record simu za Membe, Makamba na wale wengine wote walipata wapi hati ya mahakama ya kufanya hivyo? walikuwa wanachunguza nini hasa kama sio wapinzani wote au mtu yeyote ukimpinga Magufuli una rekodiwa. Hapa unataka kujisahaulisha!. Watanzani wengi sio wajinga kiasi hicho. Watanzania wanajua kinachoendelea kwa Mbowe hizi propoganda hazitafanya kazi.
 
Ila dah, itawasumbua kidogo hii. Ukienda fb watu wamesem mengi. Kumbe case ya Mbowe wananchi hukaa vijikundi kupeana vile inaenda. Yaani ndio story ya vijiweni. So wengi wanatengeneza hurumaKwa mwamba.
 
Kuna mazingira ambayo taarifa zinapaswa kuchukuliwa bila kufuata matakwa ya sheria- na sheria kuu ni kuwa maslahi ya wengi (Taifa) yana nguvu juu ya kila kitu. Hii ni natural law na natural law haiombwi inakuja tu
Wewe una uhakika gani kwamba hilo limefanyika kwa maslahi ya Taifa na wala siyo ili kumbambika mtu kesi?
 
Nyumbu za mtaa wa ufipa hazitakuelewa

Wewe ni mpumbavu mwenzie. Hakuna mtu yeyote mwenye akili anasema taarifa za Mbowe hazikupaswa kutolewa kwa Police. Wenye akili wanazungumia “namna” zilivotolewa!!

Ujinga umewazidi na kuwalemea mpaka hata hamuwezi hata kusikia, achilia mbali kuelewa. Nchi hii ina sheria, ndio maana mpk sasa Mbowe na wenzake wako waliko kwa sababu sheria za kimahakama zimetaka hivo. Tufuate matakwa ya sheria!!!

Hakuna anayesema, narudia hakuna anayesema taarifa zisingetolewa. Swala ni zimetewa vipi!! Hapa JF mpaka ilienda mahakamani na ikashinda kesi!! Watu wa kiwango cha chini kiakili mnasemaje kuhusu hilo? JF alikosea??
 
Ulitaka zitolewe vipi dada
 
Nipe namba yako nimpe mtu ambaye yupo "usalamani" halafu nakupa taarifa zako zote na mahusiano yako yote ya mabwana za watu. Utaridhikaa!?
Ni halalii? Maana naye nitamwambia tu huyu mwenye hii namba inasemekana ni "mhaini", tupate ushahidi,na kwa kuwa jamaa yupo "full documented", atapewa taarifa haraka bila "court order".
Kuna mazingira ambayo taarifa zinapaswa kuchukuliwa bila kufuata matakwa ya sheria- na sheria kuu ni kuwa maslahi ya wengi (Taifa) yana nguvu juu ya kila kitu. Hii ni natural law na natural law haiombwi inakuja tu
 
It requires law-enforcement officers to obtain warrants before making most searches. To get a warrant, officers must make sworn statements before a judge "particularly describing the place to be searched, and the persons or things to be seized."

NB; Huyo Tigoman wako alifanya hivyo au umenukuu bila kusoma?
Failure ndo ipo hapo
 
Kuna mazingira ambayo taarifa zinapaswa kuchukuliwa bila kufuata matakwa ya sheria- na sheria kuu ni kuwa maslahi ya wengi (Taifa) yana nguvu juu ya kila kitu. Hii ni natural law na natural law haiombwi inakuja tu
Mh!! Rule out the abuse of that right before the judge.
 
Wee boga uliyeleta huu ugoro unaonekana unathamini vyama, serikali na viongozi kuliko haki na usalama wako binafsi na binadamu wenzako, siku zote Taifa imara linaanzia kwa kulinda haki na usalama wa raia binafsi (individually) na sio vyama, serikali wala viongozi,Taifa ni watu sio vyama wala mifumo, hivyo vinakuja na kuondoka na viko pale kukidhi mahitaji yetu na si vinginevyo
 
Nipe namba yako nimpe mtu ambaye yupo "usalamani" halafu nakupa taarifa zako zote na mahusiano yako yote ya mabwana za watu. Utaridhikaa!?
Ni halalii? Maana naye nitamwambia tu huyu mwenye hii namba inasemekana ni "mhaini", tupate ushahidi,na kwa kuwa jamaa yupo "full documented", atapewa taarifa haraka bila "court order".
Unasema usalama mie siogopi namuogopa Mungu na Mungu anajua yote. Ukweli ni huu kwa mpangilio wetu maslahi ya taifa yko juu ya kila kitu.
 
Mambo gani ya hovyo?
FDPzmv0XEAE934I
 
Umeshasoma sheria ya Madawa ya Kulevya na Ugaidi hapa TZ mkuu? Zipo na Misc kibao zinaruhusu kudukuliwa kwa maombi ya exparte!! Someni acheni utopolo.
Uwezo huo hawana mkuu wanasubiri maria space
 
Angalia wenzetu walivyo serious na taarifa za mteja kiasi hata wao wamejifunga kuweza kupata hizo taarifa. Hii ni Case kati ya APPLE vs FBI
Asante mkuu- case hii inabainisha kuwa bado ubishi upo na utaendelea ila mwisho wa siku maslahi ya wengi yanashinda.
The FBI concluded that Apple’s concern for its customers’ privacy cannot legitimately justify obstructing the pursuit of threats to public safety.
 
Apple vs. FBI Case Study​

Ann Skeet and Markkula Center Staff
In the wake of the December 2015 terrorist attack in San Bernardino, attention turned to the perpetrator’s iPhone. A federal judge asked Apple, maker of the iPhone, to provide “reasonable technical assistance” to the FBI in accessing the information on the phone with that hope of discovering additional threats to national security.
Apple provided the FBI with data it had in their possession and sent Apple engineers to advise the FBI, but refused to comply with the court order to bypass the phone’s security measures: specifically the 4-digit login code and a feature that erases all data after ten incorrect attempts. The FBI argued that the bypass could only be used for this phone, this one time. The agency also cited national security concerns, given the phone may lead to better understanding the attack and preventing further incidents.
Apple CEO Tim Cook issued a public letter reiterating Apple’s refusal to cooperate. Cook advocated for the benefits of encryption in society to keep personal information safe. He stated that creating the backdoor entry into the iPhone would be akin to creating a master key capable of accessing the tens of millions of iPhones in the U.S. alone. Cook also had concerns that the FBI was outstepping its bounds - by using the court system to expand its authority - and believed the case should be settled after public debate and legislative action through Congress instead.
Public opinion polls on the issue were split. A number of major tech firms filed amicus briefs in support of Apple. The White House and Bill Gates stood behind the FBI. In anticlimactic fashion, the FBI withdrew its request a day before the hearing, claiming it no longer needed Apple’s help to assess the phone. It is speculated that an Israeli tech firm, Cellebrite, helped the FBI gain assess.
 
Hawa vilaza hawaelewi kuwa kinachopingwa na wenye akili ni kama takwa la kisheria linatumika katika kupata taarifa za mteja.
Mahakama ilihusishwa!!? Hilo ndilo hoja kuu.
Kwa mfumo huu (tigo & wengine) kutoa taarifa za mteja bila ya kufuata takwa la kisheria, maana yake ni kuwa kama Mtanzania mmoja mmoja hatupo salama na kama taifa pia hatupo salama.

Apple vs. FBI Case Study​

  1. Home
  2. Markkula Center for Applied Ethics
  3. Focus Areas
  4. Business Ethics
  5. Business Ethics Resources
  6. Apple vs. FBI Case Study

Ann Skeet and Markkula Center Staff
In the wake of the December 2015 terrorist attack in San Bernardino, attention turned to the perpetrator’s iPhone. A federal judge asked Apple, maker of the iPhone, to provide “reasonable technical assistance” to the FBI in accessing the information on the phone with that hope of discovering additional threats to national security.
Apple provided the FBI with data it had in their possession and sent Apple engineers to advise the FBI, but refused to comply with the court order to bypass the phone’s security measures: specifically the 4-digit login code and a feature that erases all data after ten incorrect attempts. The FBI argued that the bypass could only be used for this phone, this one time. The agency also cited national security concerns, given the phone may lead to better understanding the attack and preventing further incidents.
Apple CEO Tim Cook issued a public letter reiterating Apple’s refusal to cooperate. Cook advocated for the benefits of encryption in society to keep personal information safe. He stated that creating the backdoor entry into the iPhone would be akin to creating a master key capable of accessing the tens of millions of iPhones in the U.S. alone. Cook also had concerns that the FBI was outstepping its bounds - by using the court system to expand its authority - and believed the case should be settled after public debate and legislative action through Congress instead.
Public opinion polls on the issue were split. A number of major tech firms filed amicus briefs in support of Apple. The White House and Bill Gates stood behind the FBI. In anticlimactic fashion, the FBI withdrew its request a day before the hearing, claiming it no longer needed Apple’s help to assess the phone. It is speculated that an Israeli tech firm, Cellebrite, helped the FBI gain assess.
 
The FBI concluded that Apple’s concern for its customers’ privacy cannot legitimately justify obstructing the pursuit of threats to public safety.
February of 2016, Apple publicly refused to comply with the Federal order,citing the protection of
2 customers’data from “hackers and criminals” and noting that they even “put that data out of our own reach" because it is none of our business.

Kiufupi ni kwamba hauwezi kutatua tatizo kwa kutengeneza tatizo jingine ndio maana Apple wameweka mfumo wa kuhifadhi taarifa ambapo hata wao hawawezi kuzipata hizo taarifa za mteja ili kuondoa mgongano kati ya Public interests and Safety with the Public privacy and human rights
 
Back
Top Bottom