mutant gene JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 876 Reaction score 326 May 20, 2014 #1 Hivi huko munakopita hamuwaoni hao wachumba wenye sifa munazozitaka au vipofu? Shauri yenu wengine humu ni majini na wachawi wala sio watu. Mimi ninawaambia hivyo.
Hivi huko munakopita hamuwaoni hao wachumba wenye sifa munazozitaka au vipofu? Shauri yenu wengine humu ni majini na wachawi wala sio watu. Mimi ninawaambia hivyo.
Price JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 1,502 Reaction score 922 May 20, 2014 #2 Umejuaje kama ni Majini na Wachawi? Au ndo kujuana kwa vilemba?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 May 20, 2014 #3 mie siwaoni. nakosa muda.
jaqfantasy212 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2012 Posts 542 Reaction score 258 May 20, 2014 #4 We mzee mapenz acha ushamba wako, mapenz yanaanzia kokote, watu tunakutana na watu kwenye vyoo vya club na mapenz yanaanzia hapo sembuse jf..
We mzee mapenz acha ushamba wako, mapenz yanaanzia kokote, watu tunakutana na watu kwenye vyoo vya club na mapenz yanaanzia hapo sembuse jf..
Stanboy JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 1,115 Reaction score 1,320 May 20, 2014 #5 mutant gene said: Hivi huko munakopita hamuwaoni hao wachumba wenye sifa munazozitaka au vipofu?! Shauri yenu wengine humu ni majini na wachawi wala sio watu. mimi ninawaambia hivyo. oooh!! Click to expand... Acha imani zisizo na maana, mchumba anapatikana popote... we kama ulishapata wako huko kwenu acha wenzako watafuteee....
mutant gene said: Hivi huko munakopita hamuwaoni hao wachumba wenye sifa munazozitaka au vipofu?! Shauri yenu wengine humu ni majini na wachawi wala sio watu. mimi ninawaambia hivyo. oooh!! Click to expand... Acha imani zisizo na maana, mchumba anapatikana popote... we kama ulishapata wako huko kwenu acha wenzako watafuteee....
Stanboy JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 1,115 Reaction score 1,320 May 20, 2014 #6 Price said: Umejuaje kama ni Majini na Wachawi? Au ndo kujuana kwa vilemba? Click to expand... Vp ushampata?
Price said: Umejuaje kama ni Majini na Wachawi? Au ndo kujuana kwa vilemba? Click to expand... Vp ushampata?
Stanboy JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 1,115 Reaction score 1,320 May 20, 2014 #7 Husninyo said: mie siwaoni. nakosa muda. Click to expand... Hujampata bado?
Stanboy JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 1,115 Reaction score 1,320 May 20, 2014 #8 jaqfantasy212 said: We mzee mapenz acha ushamba wako, mapenz yanaanzia kokote, watu tunakutana na watu kwenye vyoo vya club na mapenz yanaanzia hapo sembuse jf.. Click to expand... weekend hii club gani utakuwa ili tukukatane tulianzishe hahahahaaa...
jaqfantasy212 said: We mzee mapenz acha ushamba wako, mapenz yanaanzia kokote, watu tunakutana na watu kwenye vyoo vya club na mapenz yanaanzia hapo sembuse jf.. Click to expand... weekend hii club gani utakuwa ili tukukatane tulianzishe hahahahaaa...
C Calvin Malisa New Member Joined May 20, 2014 Posts 3 Reaction score 1 May 20, 2014 #9 hahahaha lakini tusimcheke ni maoni yake
Price JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 1,502 Reaction score 922 May 20, 2014 #10 Stanboy said: Vp ushampata? Click to expand... Wataka nitafutia?
jaqfantasy212 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2012 Posts 542 Reaction score 258 May 20, 2014 #11 Stanboy said: Hujampata bado? Click to expand... Mwanga anamjua mwanga mwenzake, katongoza mwanga mwenzake akajua wote wanga humu..
Stanboy said: Hujampata bado? Click to expand... Mwanga anamjua mwanga mwenzake, katongoza mwanga mwenzake akajua wote wanga humu..
jaqfantasy212 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2012 Posts 542 Reaction score 258 May 20, 2014 #12 Stanboy said: weekend hii club gani utakuwa ili tukukatane tulianzishe hahahahaaa... Click to expand... Hahahahaaa!! Sijapanga ratiba bado
Stanboy said: weekend hii club gani utakuwa ili tukukatane tulianzishe hahahahaaa... Click to expand... Hahahahaaa!! Sijapanga ratiba bado
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,117 Reaction score 165,384 May 21, 2014 #13 Ushasaka humu umekosa unajitia kudis wenzio wanaopoa kila siku.... badilisha mbinu
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 May 21, 2014 #14 Kwani kuna tofauti gani kati ya mtaan, kanisani, msikitini, bar, club, barabarani na JF??
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 May 21, 2014 #15 Stanboy said: Hujampata bado? Click to expand... cjampata bana, sijui nna kigundu.
mwalimumzalendo1 JF-Expert Member Joined May 19, 2014 Posts 1,098 Reaction score 406 May 22, 2014 #17 Huna lolote umeingia pabaya ndo unajishaua Wakati wanzio wanapata kila siku
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,070 May 23, 2014 #18 wewe waache watu watoe yao ya moyoni kwani ni dhambi?