Mnaopotezea wengine acheni pongezi za kinafki

Mnaopotezea wengine acheni pongezi za kinafki

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,370
Kuna watu bhana umewatongoza,wamekutosa,walijifanya njia panda sitaki nataka,msg hawajibu,WhatsApp hareply kama hawakujui,Facebook ndo hawakuoni.....yaani bwembwe za mwanzo wanareply,baada ya siku mbili hawakujibu tena.

Siku ukiweka profile pic ya mpenzi wako whatsapp wanaanza kujipitisha kureply na kutuma msg"hongera Wifi mzuri"hongera shemeji handsome"huyo ndo wifi yetu nn?ili wahakikishe tu kama umepata mtu au kujipitisha kwamba tukio ulilofanya wameona.


Kama ulijifanya kumpenda mtu ukaanza kumpotezea na kujifanya busy hureply unaulizia nn kwanini ujipitishe siku ukimwona na mwingine?

Kama ulikuwa huwezi kumreply Leo umepata wapi mda?


Acheni pongezi za kinafki
 
Kuna msemo unasema.." If it's none of your business, don't ask questions".
Ubora wa mtu unaonekana pale akiwa na mtu.
 
Back
Top Bottom