Mnaonaje hii ya wazee wa baraza wa mahakama kuteuliwa na CCM?

Decree Holder

JF-Expert Member
Jul 19, 2015
2,556
3,741
0a544c95d2afeb854f8369e8f3a14fb0.jpg
3298848e795d2c4753da8a0f3bd869ca.jpg


Wakuu Magistrate Court Act Regulations za 2002 zinatoa jukumu la kuchagua wazee wa baraza kwenye mahakama za mwanzo kwa halimashauri za ccm za tawi na wilaya. Hii imekaaje? Je hii siyo kuchanganya taaluma ya sheria na siasa?
 
Bora hao,mabaraza ya ardhi na Nyumba wenyeviti wake wanateuliwa na mwana ccm,waziri wa ardhi,kazi zao za MKATABA,wakigombana na wana ccm,wananyimwa kuongezewa mkataba

Wazee wa Baraza ndio kichekesho,wanachaguliwa na mkuu wa wilaya,mkuu wa mkoa,na wengi ni makada haswa wa ccm

Hata mabaraza yafutwe tu
 
Ndo maana Lissu anahitajika sana kuwa rais wa TLS, ilikung'oa mizizi yote ya CCM iliyojipenyeza kwenye sehemu mbalimbali ambapo haitakiwa
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Mwanzo nilidhani upo sawa!

Ukileta Mada humu usiandae Marking scheme ya Maoni ya watu utapata shida!

Kosa kubwa kabisa walilofanya Wapinzani katika Utawala wa Jk kukataa ile Katiba Mpya na itawagharimu sana, kwny Ile Katiba Mpya CCM walikuwa wanapoteza vitu vingi sana kuliko ambavyo Walipata Ndio sababu wakamsaliti Jk kwa kuwa provoke Wapinzani nao wakawa Provoked kweli.

hata Mzee Kingunge na Kundi lake la Wanamtandao waliwahi kumshambulia Jk kwa kuruhusu Mchakato wa Katiba Mpya bila ya kibali cha Kamati kuu ya CCM nae Jk alifanya uhuni ule kwa lengo zuri kwa kuwa Kamati kuu ingemkatalia!
 
Back
Top Bottom