James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,205
- 1,509
really , Are u serious ?Hivi punde nilikuwa nasoma maoni ya watu kuhusu JPM kuwa hajui kuzungumza Kiingereza/Kiswahili fasaha.
Ningependa kuwakumbusha Watanzania wenzangu kwamba kwa sasa kuna mambo muhimu zaidi ya kufuatilia kuliko mjadala huu wa lugha. Pia naomba mkumbuke kuwa kabla ya utawala huu tumeshapoteza miaka 10 bila ya kuwa na rais. Kwahiyo, tutumie changamoto ya awamu hii ya 5 kushirikiana kulijenga taifa.
really , Are u serious
really , Are u serious ?
??? Sijakuelewa ulitaka kuzungumzia nini
Mkuu punguza ushabiki uliopitiliza..,Hivi punde nilikuwa nasoma maoni ya watu kuhusu JPM kuwa hajui kuzungumza Kiingereza/Kiswahili fasaha.
Ningependa kuwakumbusha Watanzania wenzangu kwamba kwa sasa kuna mambo muhimu zaidi ya kufuatilia kuliko mjadala huu wa lugha. Pia naomba mkumbuke kuwa kabla ya utawala huu tumeshapoteza miaka 10 bila ya kuwa na rais. Kwahiyo, tutumie changamoto ya awamu hii ya 5 kushirikiana kulijenga taifa.
Acheni matusi na kebehi zisizo na utu nyie watoto!! Eti Tanzania haikua na rais kweli?
Raisi wa mambo ya nchi za nje.Rais ambaye aliulizwa kwanini TZ ni maskini aksema hajui.Badala ya kusema upigaji umezidi.Mkuu punguza ushabiki uliopitiliza..,
Plse litendee haki Jukwaa letu hapa JFs kw kujitahidi kujituma ktk kufikiri...
Nchi yetu toka tupate uhuru zaidi ya miaka 50, tumeongozwa na 4 Presidents, na mwaka jana amepatikana wa 5.
Watanzania wanastahili kuishi maisha yenye ustawi mzuri na kutumia haki zao za msingi, pamoja na kutoa maoni yao khs Viongozi wa Nchi hii.
haha jamani hii engilishiiiiii na hatariKwenye kampeni alikua anasalimia kwa lugha mbali mbali nikajua ni bingwa wa lugha
kumbe......
....mkuu ndio ukweli, wala usikereke!Umenikera kusema miaka10 hatukuwa na Rais
Mengine poa
Hivi punde nilikuwa nasoma maoni ya watu kuhusu JPM kuwa hajui kuzungumza Kiingereza/Kiswahili fasaha.
Ningependa kuwakumbusha Watanzania wenzangu kwamba kwa sasa kuna mambo muhimu zaidi ya kufuatilia kuliko mjadala huu wa lugha. Pia naomba mkumbuke kuwa kabla ya utawala huu tumeshapoteza miaka 10 bila ya kuwa na rais. Kwahiyo, tutumie changamoto ya awamu hii ya 5 kushirikiana kulijenga taifa.
sishangai unaishi kigamboni na soon unapita kwenye daraja ulilolijenga huyo unayemtukana. ukiumwa moyo unakimbizwa kwenye taasisi ya moyo aliyoipigania huyo unayemtukana, ukitaka kwenda kuona ndugu zako kanda ya ziwa hupiti nchi jirani kwa juhudi za huyo unayemtukana. Haishangazi umesoma shule za kata alizozijanga huyo unayemtukana na ukagraduate pale UDOM ambazo ni juhudi za huyo unayemtukana kitu ambacho hakikuwepo hata kwenye ilani ya chama alichopewa dhamana kukiwakilisha. bila shaka utakuwa bwabwa wewe.sure,alichoweza kufanya ni kusaidia familia yake na maswahiba zake,ila msaada kwa watanzania ni 0%
bila shaka na wewe ni walewale ''mabwabwa''....mkuu ndio ukweli, wala usikereke!
sishangai unaishi kigamboni na soon unapita kwenye daraja ulilolijenga huyo unayemtukana. ukiumwa moyo unakimbizwa kwenye taasisi ya moyo aliyoipigania huyo unayemtukana, ukitaka kwenda kuona ndugu zako kanda ya ziwa hupiti nchi jirani kwa juhudi za huyo unayemtukana. Haishangazi umesoma shule za kata alizozijanga huyo unayemtukana na ukagraduate pale UDOM ambazo ni juhudi za huyo unayemtukana kitu ambacho hakikuwepo hata kwenye ilani ya chama alichopewa dhamana kukiwakilisha. bila shaka utakuwa bwabwa wewe.
Mimi si mwanaCCM na ninaichukia sana CCM kama adui namba 1 aliyeififisha safari ya maendeleo ya Watanzania. Lakini kuna mambo naweza kumpongeza Kikwete.sishangai unaishi kigamboni na soon unapita kwenye daraja ulilolijenga huyo unayemtukana. ukiumwa moyo unakimbizwa kwenye taasisi ya moyo aliyoipigania huyo unayemtukana, ukitaka kwenda kuona ndugu zako kanda ya ziwa hupiti nchi jirani kwa juhudi za huyo unayemtukana. Haishangazi umesoma shule za kata alizozijanga huyo unayemtukana na ukagraduate pale UDOM ambazo ni juhudi za huyo unayemtukana kitu ambacho hakikuwepo hata kwenye ilani ya chama alichopewa dhamana kukiwakilisha. bila shaka utakuwa bwabwa wewe.