Mnaokaa na wanawake mnawezaje?

Wewe una akili timamu? Unavyoishi na mtu wako usitake kila mtu aishi hivyo, amekosea uombe msamaha wewe? What a stupidity? Kwa hilo hapana. Atasifiwa tu kama anastahili, na si vinginevyo.

Na ndio maana mnalia kuumizwa kila siku kwa ujinga wenu huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujakuwa bafl
Aisee mnaoishi na wanawake mnawezaje!,hapa nimeishi na mwanamke miezi minne lakini naona kama miaka 9,hapa nilipo nina mood yakusafiri pasipojulikana narudi after 2years,hana fujo zozote ila nahisi kuchoka tu
 
Mi nilikaa miaka miwili ilikuwa kama miaka 20..
Saiz sitaki kabisa kusikia hizo habari.. shida ya wanawake unamchukua umsitiri tu matokeo yake anaanza kutaka kukutawala.

Kweli kabisa kiongozi!mara unaenda wapi,ulikuwa na nani,unafanya nini!,unajikuta unaishi kama upo kituo cha polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…