Mnaokaa na wanawake mnawezaje?

Aisee mnaoishi na wanawake mnawezaje!,hapa nimeishi na mwanamke miezi minne lakini naona kama miaka 9,hapa nilipo nina mood yakusafiri pasipojulikana narudi after 2years,hana fujo zozote ila nahisi kuchoka tu
Asee wewe sio wa kuoa.
 
Aisee mnaoishi na wanawake mnawezaje!,hapa nimeishi na mwanamke miezi minne lakini naona kama miaka 9,hapa nilipo nina mood yakusafiri pasipojulikana narudi after 2years,hana fujo zozote ila nahisi kuchoka tu
"Ishiini nao kwa akili ",ukiona huwezi jitizame.
 
HIYO KITU IPO ASEE ...
SISHANGAI ,

ME HUWA STAKI ATA KUSKIA HAYO MAMBO YA KUISHI NA MWANAMKE...

unaweza ukaf k s t r e s s.
 
Mi nilikaa miaka miwili ilikuwa kama miaka 20..
Saiz sitaki kabisa kusikia hizo habari.. shida ya wanawake unamchukua umsitiri tu matokeo yake anaanza kutaka kukutawala.
 
Mwanamke hana tatizo lolote, jamaa kashachoka, sasa ukimpa hii orodha atakuwa na hali gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…