Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Shida nini Mkuu
Mbona mdingi wako aliweza fresh tu.
Utakua na jini kismart au maana wewe[emoji28][emoji28][emoji23]
Wewe ni under 16,uwe unahudhuria sherehe za mtoto wa Afrika kila ifikapo June 16.
Inabidi umfate akupe siri ya kuishi nao hawa viumbeSijui alitumia mbinu gani mkuu![emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Imeandikwa tuishi na wake zetu kwa akili.
Nadhani unahitaji kutumia akili tu , utamzoea.
haha watakwambia ishi naye kwa akili
Kinachokuchosha ni nini sasa?
Khaaaa!Aisee mnaoishi na wanawake mnawezaje!,hapa nimeishi na mwanamke miezi minne lakini naona kama miaka 9,hapa nilipo nina mood yakusafiri pasipojulikana narudi after 2years,hana fujo zozote ila nahisi kuchoka tu
Mahusiano ya hvyo yanapatikana kwa wingi sana huko mbinguniRahisi kuishi na hawa watu zingatia yafuatayo:
1. Usichoke kuwasifia.
2. Usipuuze vipaumbele vyao, ahidi tu hata kama huna uwezo wa kutimiza.
3. Usichoke kuomba msamaha hata kama hujakosea. Hata kama kakukosea wewe omba msamaha.
4. Usiwe mtu wa kukosoa zaidi zaidi sifia, kama haiwezekani tia moyo.
mambo yote nimfanyie yeye?_Rahisi kuishi na hawa watu zingatia yafuatayo: