Mnaojiona Kua mmeshafanikiwa acheni dharau tulikua wote Enzi hizo

Haya mawazo yako ni ya kufeli kimaisha sio bure kwahiyo hapo unafosi mtu apokee sim yako tuuu we vipi bhanaaaa ukiwa na majukum huwez lalamika kipuuz namna hii aseee.... kiufup km mie ndo kabisaaa siendekez urafik wa namna hiyo et kisa tulisoma sijui tulikua kitaa kimoja km hauna faida tupa kuleee mazoea sitak
Mkuu hakuna anaetaka pesa zako ni just humanity tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niende 1kwa1 kwenye Moyo wa uzi wangu.. Kuna tabia Hua sipendi Sana katika maisha yangu, Unakuta mtu mlikua pamoja shuleni lakini kwa vile yeye akifanikiwa na Kua juu saiv anajifanya hata kupokea simu anona Kero.

Unakuta unampigia simu hapokei badae unampigia anapokea anakuambia alikua bize.. Na kingine Unakuta hakutafuti hadi umuanze yeye Mungu anakuona ndugu.

Ukijiona umefanikiwa bado Sana kama ambavyo unahisi maisha haya taratibu Sana tutafika tu.

Hata kama Sina kitu sipendi dharau nimetoa la moyoni asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Ishi maisha yako
 
Unakuta mwingine anapita kijiweni kwa mguu hata salamu anaona kero duh maisha haya!

Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu ni wanafki sana mtu akiwa hana kitu ata akipita bila kuwasalimia hamuoni tatizo ila akifanikiwa kupata kazi asipowasalimia mnaona kuwa anajisikia acheni unafki na wengi wanashindwa kupokea simu zenu sababu wengi mnapiga vizinga sana mtu kila ukipiga ni kizinga sasa kwañn apokee simu yako tafuta kazi na ww acha kumsumbua mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu kama ana roho mbaya atabaki kuwa na roho mbaya tu na mtu kama ana roho nzuri atabaki kuwa na roho nzuri, kuwa na Elimu nzuri, Kazi nzuri na maisha mazuri siyo sababu ya kuwa na dharau.
 
Cha msingi mimi sioni kama kuna shida hapa kutokupokelea simu, inataegemeana huwa unamtafuta kwa lipi au stori zako zinamboa huongie vitu vya muhimu labda stori zako ni mademu tu, hata mimi mtu wa hivyo nakukwepa aiseeh ni heri lawama kuliko.....

Happiness is a lifestyle
 
Ndio dunia ilivyo,hata kiongozi kutoka taifa lenye uchumi mkubwa duniani hawezi kuwa karibu na kiongzi kutoka taifa masikini;kwa sababu hamna la kuzungumza.......huyu anafikiria nyuklia,mwingine anafikiria njaa.
Sasa mkuu, unamaanisha kuwa mtukufu anko ajaongea na yule Bibi wa abroad au...
 
Mambo ya kudharauliana mkuu hayana Maana kisa umepata cha zaidi kuliko mwingine, mkuu uko sahihi lakini sion kama ukipokea simu unaweza ukapoteza chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hko kupokea cm unakokilalamikia shida ako inakua ni nin haswa ???
we huna shughul ya kukuweka bize na kama ungekua nayo usingelikua hapa unajib kila comment ya mtu
Ushaul wang ni "jarib kupambana na hal yako mkuu"
Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani lazima unitafute fanya yako unalazimisha urafiki au undugu tafuta mafanikio yako usiangalie yangu na kuyatolea macho
tenor(3).gif


Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
 
Tafuta hela kwa nguvu zako zote. Kuna msemo unasema "Do not blame people for leting you down, blame yourself for depending on them too much'

Ubarikiwe sana

Sent using Jamii Forums mobile app
You said well mkuu...What is matter, is to stand with your own feet depend too much to nobody, take full responsibility of your own life, believe to yourself, believe to your heart, respect your decision, be brave, stand a firm, we are image of God, God within us, fear no evils-no evils will fight against you. Stop complaining, stop blaming, stop procrastinating....stop stop stop.....Evil deeds.
Dedication to him
Get up stand up by Bob Marley
 
Kwanini ulazimishe urafiki kama kahaba!!?
Niende 1kwa1 kwenye Moyo wa uzi wangu.. Kuna tabia Hua sipendi Sana katika maisha yangu, Unakuta mtu mlikua pamoja shuleni lakini kwa vile yeye akifanikiwa na Kua juu saiv anajifanya hata kupokea simu anona Kero.

Unakuta unampigia simu hapokei badae unampigia anapokea anakuambia alikua bize.. Na kingine Unakuta hakutafuti hadi umuanze yeye Mungu anakuona ndugu.

Ukijiona umefanikiwa bado Sana kama ambavyo unahisi maisha haya taratibu Sana tutafika tu.

Hata kama Sina kitu sipendi dharau nimetoa la moyoni asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent by Diaspora
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom