Mnaojiona Kua mmeshafanikiwa acheni dharau tulikua wote Enzi hizo

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Niende 1kwa1 kwenye Moyo wa uzi wangu.. Kuna tabia Hua sipendi Sana katika maisha yangu, Unakuta mtu mlikua pamoja shuleni lakini kwa vile yeye akifanikiwa na Kua juu saiv anajifanya hata kupokea simu anona Kero.

Unakuta unampigia simu hapokei badae unampigia anapokea anakuambia alikua bize.. Na kingine Unakuta hakutafuti hadi umuanze yeye Mungu anakuona ndugu.

Ukijiona umefanikiwa bado Sana kama ambavyo unahisi maisha haya taratibu Sana tutafika tu.

Hata kama Sina kitu sipendi dharau nimetoa la moyoni asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu acha mawazo ya kimasikini.
Unapokuwa na rafiki kipindi mnasoma jua urafiki wenu ulikuwa kwa sababu mlikuwa karibu na wote mlikuwa mnasoma.

Unapokuwa na urafiki na mtu mtaani , ni kwa sababu na yeye alikuwa mtaani hivyo mlikuwa mnaelewana na mnawaza sawa.

Sasa mtu kaenda chuo kakuacha mtaani , chuo kule atatengeneza marafiki wapya wanaofit eneo alilopo.

Vivyo hivyo akifika kazini. Sasa mtu hamfanyi kazi ofisi moja, hamkutani kwenye vikao vya harusi, haufanyi kazi inayoendana na anayofanya yeye useme uta share experience, unataka akupigie muwe mnaongea nini Mara kwa Mara?

Mawazo yanayotokana na inferiority complex! Tafuta mtu una shida nae, mmemalizana kila mtu lake. Cha msingi tengeneza network
 
Ndugu acha mawazo ya kimasikini.
Unapokuwa na rafiki kipindi mnasoma jua urafiki wenu ulikuwa kwa sababu mlikuwa karibu na wote mlikuwa mnasoma.

Unapokuwa na urafiki na mtu mtaani , ni kwa sababu na yeye alikuwa mtaani hivyo mlikuwa mnaelewana na mnawaza sawa.

Sasa mtu kaenda chuo kakuacha mtaani , chuo kule atatengeneza marafiki wapya wanaofit eneo alilopo.

Vivyo hivyo akifika kazini. Sasa mtu hamfanyi kazi ofisi moja, hamkutani kwenye vikao vya harusi, haufanyi kazi inayoendana na anayofanya yeye useme uta share experience, unataka akupigie muwe mnaongea nini Mara kwa Mara?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lakini sidhani kama ni busara hata kupokea simu unaona kama mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niende 1kwa1 kwenye Moyo wa uzi wangu.. Kuna tabia Hua sipendi Sana katika maisha yangu, Unakuta mtu mlikua pamoja shuleni lakini kwa vile yeye akifanikiwa na Kua juu saiv anajifanya hata kupokea simu anona Kero.

Unakuta unampigia simu hapokei badae unampigia anapokea anakuambia alikua bize.. Na kingine Unakuta hakutafuti hadi umuanze yeye Mungu anakuona ndugu.

Ukijiona umefanikiwa bado Sana kama ambavyo unahisi maisha haya taratibu Sana tutafika tu.

Hata kama Sina kitu sipendi dharau nimetoa la moyoni asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpotezee kama hana time na wewe,haya maisha tu hakuna kujipa stress.
 
Ahaahaaa... Ili ufanikiwe lazima uwe bize sa mimi nawaza hela au nasubiri callz za dili we unapiga simu kuleta story za shule...
Simu ya hela maongezi dakika 3, Simu yako ya salamu na story za zamani maongezi saa 1 na dakika 37 kwanini nipokee simu yako...
 
Sawa lakini ukumbuke pesa zinamwisho wale sisi rafiki unaotuona wasumbufu ndo tutakuja kukusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hakuna mtu ambaye hayuko bize ila tu wengine hatuna tabia ya kujiweka halo flani ya utawi juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakuelewa,ila wakati mwingine siyo kwamba mtu anaringa ,unapokua umefanikiwa kidogo lazima kuna mambo tu yatabadilika,huwezi ukawa unaishi katika mfumo uleule wa zamani

Mfano labda tulikua tupo wote kitaa nilikua sina kazi ikatokea labda nimepata kazi,mfumo wa maisha, ratiba yangu n.k lazima tu vibadilike, ,utapata marafiki wapya pia,hilo litapelekea kutokua karibu labda kama zamani,sasa yote hayo wengi huwa wanachukulia kama wanatengwa au kudharauliwa lakini ni mfumo tu wa maisha unatubadilisha
 
Sawa lakini ukumbuke pesa zinamwisho wale sisi rafiki unaotuona wasumbufu ndo tutakuja kukusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaambiwa ukweli bhasi kubaliana nao...
Ukitaka kampani ya watu waliokuzidi kwa mengi , inatakiwa na wewe uoneshe unastahili kukaa nao meza moja.. mnaweza mkawa mmetoka mbali lakini huko mbali mlikuwa mnaendana ila huko mnapokwenda ni kama hamuendani..

Jombaa panda juu huko huko alipo ili muweze kuongea lugha moja..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom