Mnaoitaka Tanganyika jibu swali hili

Mnaoitaka Tanganyika jibu swali hili

Nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
2,230
Reaction score
3,332
Niliwahi na kuja na uzi unaosema "Mnaoitaka Tanganyika hamna hoja za msingi, mnafuata mkumbo tu"

Nataka niwaulize nyie mnaosema mnaitaka Tanganyika; Tanganyika ni eneo wa mikoa na makabila mbalimbali, sasa nataka mniambie, nani alikaa akasema mikoa 25 tuiite Tanganyika, ni kweli Mgogo na Mkurya walikubaliana, au Msukuma na mmasai walikubaliana?, mnaoitaka Tanganyika tuambieni jina Tanganyika lipo kwa idhini ya nani?

SHORT HISTORY

Tanganyika Territory was a British League of Nations mandate between 1922 and 1946 and a British United Nations trust territory between 1946 and 1961.

Prior to the end of the First World War the territory was part of the German colony of German East Africa. After the war had broken out, the British invaded German East Africa, but were unable to defeat the German Army. The German leader in East Africa, Paul Emil von Lettow-Vorbeck did not surrender until the German Empire had collapsed. After this the League of Nations gave control of the area to the United Kingdom who named their part of the earlier German area Tanganyika. The United Kingdom held Tanganyika as a League of Nations mandate until the end of the Second World War after which it was held as a United Nations trust territory. In 1961, Tanganyika Territory gained its independence from the United Kingdom as Tanganyika, a Commonwealth realm
 
Niliwahi na kuja na uzi unaosema "Mnaoitaka Tanganyika hamna hoja za msingi, mnafuata mkumbo tu"

Nataka niwaulize nyie mnaosema mnaitaka Tanganyika; Tanganyika ni eneo wa mikoa na makabila mbalimbali, sasa nataka mniambie, nani alikaa akasema mikoa 25 tuiite Tanganyika, ni kweli Mgogo na Mkurya walikubaliana, au Msukuma na mmasai walikubaliana?, mnaoitaka Tanganyika tuambieni jina Tanganyika lipo kwa idhini ya nani?
Sorry hatuna muda wa kupoteza.....tuna mengi ya kufanya!
 
Niliwahi na kuja na uzi unaosema "Mnaoitaka Tanganyika hamna hoja za msingi, mnafuata mkumbo tu"

Nataka niwaulize nyie mnaosema mnaitaka Tanganyika; Tanganyika ni eneo wa mikoa na makabila mbalimbali, sasa nataka mniambie, nani alikaa akasema mikoa 25 tuiite Tanganyika, ni kweli Mgogo na Mkurya walikubaliana, au Msukuma na mmasai walikubaliana?, mnaoitaka Tanganyika tuambieni jina Tanganyika lipo kwa idhini ya nani?

Hoja dhaifu kama za maccm. Ukitaka kushabikia maccm lazima akili ufiche mfukoni. think outside the box.
 
Hili ni swali la kijinga sana kuulizwa ktk karne hii. Kwani ni nchi gani iliyopewa uhuru tarehe 9 Desemba 1961 na ni nchi gani zinazotajwa kusaini hati ya muungano?....naamini yote haya unayajua ila ufahamu wako imeuacha mtaa wa lumumba
 
Dah! mimbio yooote nakujaona pumba tupu
 
post haina mashiko,wewe sema tanganyika iko wapi??kama sio imemezwa na muungano??huna hoja kaa kimya
 
Niliwahi na kuja na uzi unaosema "Mnaoitaka Tanganyika hamna hoja za msingi, mnafuata mkumbo tu"

Nataka niwaulize nyie mnaosema mnaitaka Tanganyika; Tanganyika ni eneo wa mikoa na makabila mbalimbali, sasa nataka mniambie, nani alikaa akasema mikoa 25 tuiite Tanganyika, ni kweli Mgogo na Mkurya walikubaliana, au Msukuma na mmasai walikubaliana?, mnaoitaka Tanganyika tuambieni jina Tanganyika lipo kwa idhini ya nani?

View attachment 151556
 
Mjomba bado upo?
Leta hoja yenye nguvu tuijadiili hapa sio utumbo wa samaki!!
 
Niliwahi na kuja na uzi unaosema "Mnaoitaka Tanganyika hamna hoja za msingi, mnafuata mkumbo tu"

Nataka niwaulize nyie mnaosema mnaitaka Tanganyika; Tanganyika ni eneo wa mikoa na makabila mbalimbali, sasa nataka mniambie, nani alikaa akasema mikoa 25 tuiite Tanganyika, ni kweli Mgogo na Mkurya walikubaliana, au Msukuma na mmasai walikubaliana?, mnaoitaka Tanganyika tuambieni jina Tanganyika lipo kwa idhini ya nani?

Kiongozi,

Tangayika = Tanzania Bara = Tanzania

Kama unaipenda Tanzania lazima utakuwa unafahamu historia yako, hata hao Wasukuma, Wakurya etc hawakuwahi kuulizwa kama wanataka jina Tanzania litumike badala ya Tanganyika?
 
Niliwahi na kuja na uzi unaosema "Mnaoitaka Tanganyika hamna hoja za msingi, mnafuata mkumbo tu"

Nataka niwaulize nyie mnaosema mnaitaka Tanganyika; Tanganyika ni eneo wa mikoa na makabila mbalimbali, sasa nataka mniambie, nani alikaa akasema mikoa 25 tuiite Tanganyika, ni kweli Mgogo na Mkurya walikubaliana, au Msukuma na mmasai walikubaliana?, mnaoitaka Tanganyika tuambieni jina Tanganyika lipo kwa idhini ya nani?
See Kobe no answer they don't have any solid urguments, poor fools
 
Niliwahi na kuja na uzi unaosema "Mnaoitaka Tanganyika hamna hoja za msingi, mnafuata mkumbo tu"

Nataka niwaulize nyie mnaosema mnaitaka Tanganyika; Tanganyika ni eneo wa mikoa na makabila mbalimbali, sasa nataka mniambie, nani alikaa akasema mikoa 25 tuiite Tanganyika, ni kweli Mgogo na Mkurya walikubaliana, au Msukuma na mmasai walikubaliana?, mnaoitaka Tanganyika tuambieni jina Tanganyika lipo kwa idhini ya nani?

Kama Tanganyika hauitambui tuambie neno TAN lililotumika kuunda TANZANIA lilitoka wapi?

saini.jpg
 
Niliwahi na kuja na uzi unaosema "Mnaoitaka Tanganyika hamna hoja za msingi, mnafuata mkumbo tu"

Nataka niwaulize nyie mnaosema mnaitaka Tanganyika; Tanganyika ni eneo wa mikoa na makabila mbalimbali, sasa nataka mniambie, nani alikaa akasema mikoa 25 tuiite Tanganyika, ni kweli Mgogo na Mkurya walikubaliana, au Msukuma na mmasai walikubaliana?, mnaoitaka Tanganyika tuambieni jina Tanganyika lipo kwa idhini ya nani?

Bila shaka wewe ni muheshimiwa Mpanju! Maswali yako tumeshayazoea.
 
Niliwahi na kuja na uzi unaosema "Mnaoitaka Tanganyika hamna hoja za msingi, mnafuata mkumbo tu"

Nataka niwaulize nyie mnaosema mnaitaka Tanganyika; Tanganyika ni eneo wa mikoa na makabila mbalimbali, sasa nataka mniambie, nani alikaa akasema mikoa 25 tuiite Tanganyika, ni kweli Mgogo na Mkurya walikubaliana, au Msukuma na mmasai walikubaliana?, mnaoitaka Tanganyika tuambieni jina Tanganyika lipo kwa idhini ya nani?

Na wewe tuambie ulikaa na nani mkakubaliana uitwe Nkobe. Ukimaliza utuambie kabila lako la Wagogo mlikaa na nani hadi mkakubaliana muitwe Wagogo! Ukijibu hayo na sisi tutakujibu kina nani walitupa hilo jina Tanganyika.
 
Niliwahi na kuja na uzi unaosema "Mnaoitaka Tanganyika hamna hoja za msingi, mnafuata mkumbo tu"

Nataka niwaulize nyie mnaosema mnaitaka Tanganyika; Tanganyika ni eneo wa mikoa na makabila mbalimbali, sasa nataka mniambie, nani alikaa akasema mikoa 25 tuiite Tanganyika, ni kweli Mgogo na Mkurya walikubaliana, au Msukuma na mmasai walikubaliana?, mnaoitaka Tanganyika tuambieni jina Tanganyika lipo kwa idhini ya nani?

natumaini upo form three D. Mtu mzima na msomi hawezi andika hivi. Na kwa mwendo huu form four haufaulu.
 
Niliwahi na kuja na uzi unaosema "Mnaoitaka Tanganyika hamna hoja za msingi, mnafuata mkumbo tu"

Nataka niwaulize nyie mnaosema mnaitaka Tanganyika; Tanganyika ni eneo wa mikoa na makabila mbalimbali, sasa nataka mniambie, nani alikaa akasema mikoa 25 tuiite Tanganyika, ni kweli Mgogo na Mkurya walikubaliana, au Msukuma na mmasai walikubaliana?, mnaoitaka Tanganyika tuambieni jina Tanganyika lipo kwa idhini ya nani?

Naomba nikuulize,umepost huu uzi ukiwa na akili zako timamu,bila kushawishiwa wala kulazimishwa na mtu yeyote?kama ndiyo, basi kuna tatizo sehemu, kama hapana, waambie waliokushawishi au kukulazimisha kuna mahali hawakukuweka clear.

1.Kila tarehe 9 December kuna sherehe ya kitaifa kusheherekea UHURU,je ni UHURU wa nchi gani?kutoka koloni gani?
2.History inasema TANZANIA ni MUUNGANO wa Ta......na Zanzibar, hiyo Ta..............unaifahamu?au unataka kusema Tanzania ni Muungano wa nani na nani?
3.Mnasema Tanganyika ni ya kikoloni,Ile ikulu pale magogoni?Reli?Mikoa?Viwanja vya ndege?...............nikiendelea kuvtaja ni vingi,for 50years tumeweza kujenga vingapi vya kwetu na vimedumu vingapi?

anyway, naona huruma ya kukuporomoshea maswali mengine kwani kwa hoja yako, naamini hata hayo hapo juu hutaweza kuyajibu kwa ufasaha!
 
Back
Top Bottom